OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah.
Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule.
Wazee wamesema watafanya Albadir itakayomdhuru mhusika.
Taadhari hiyo imekuwa baada ya club ya Yanga kuonekana kuwekeza kwenye hujuma ya kuhonga marefa, wachezaji na viongozi.