OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wazee wapuuzi Hao Yani Wana muhusisha Mwenyezi Mungu Na mambo ya kipuuzi. Ukisikia shirki ndio HII sasaWazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah.
Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule.
Wazee wamesema watafanya Albadir itakayomdhuru mhusika.
Taadhali hiyo imekuwa baada ya club ya Yanga kuonekana kuwekeza kwenye hujuma ya kuhonga marefa,wachezaji na viongozi.
habari yako UtopoloWazee wapuuzi Hao Yani Wana muhusisha Mwenyezi Mungu Na mambo ya kipuuzi. Ukisikia shirki ndio HII sasa
kama walipaki basi kwanini yanga hawakubuni mbinu mbadala kuwavuta wafungue ili mfunge ,mbona unakuwa zezeta hivoCostal watengeneze timu Mambo ya Albadil katika mpira wa kisasa haita wasaidia, ikiwa Simba wali paki basi na kushangilia sare wao wajiandae na kipigo tu hakuna Namna.
timu ikibaki bus yanga wanavuta kwa bahashakama walipaki basi kwanini yanga hawakubuni mbinu mbadala kuwavuta wafungue ili mfunge ,mbona unakuwa zezeta hivo
nimecheka kuna video ina trend walivyorudi toka Zanzibar pale bandarini walipokelewa na jagi (Kama kombe) huku wakizomewa.timu ikibaki bus yanga wanavuta kwa bahasha
Yanga hawezi kutoka mkwakwaniWazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah.
Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule.
Wazee wamesema watafanya Albadir itakayomdhuru mhusika.
Taadhari hiyo imekuwa baada ya club ya Yanga kuonekana kuwekeza kwenye hujuma ya kuhonga marefa, wachezaji na viongozi.
Kama Namungo sio?Costal watengeneze timu Mambo ya Albadil katika mpira wa kisasa haita wasaidia, ikiwa Simba wali paki basi na kushangilia sare wao wajiandae na kipigo tu hakuna Namna.
mkuu Umesahau kwamba mdaka mishale nusra akatae kurudi golini baada ya kombora la Kanoute kutaka kumpasua mifupa? Umesahau jinsi mwamnyeto alivyokuwa anamnong'oneza refa amalize mpira huku akiwa amelala chini baada ya vyenga na kosakosa nyingi za magoli ktk lango ya utopolo?Costal watengeneze timu Mambo ya Albadil katika mpira wa kisasa haita wasaidia, ikiwa Simba wali paki basi na kushangilia sare wao wajiandae na kipigo tu hakuna Namna.
Wakifungwa mna anza kusema GSMYanga Mkwakwani hawatoki,lazima watage tu hakuna jinsi na ndiyo watakapo anza kucharazana bakora. Msimu uliopita Nugaz alirusha ngumi baada ya kufumuliwa 2 - 1,vijana wa Mangush siyo watu wazuri kwa Uto
wakicheza bila makandokando hatuna shidaWakifungwa mna anza kusema GSM
Kwa taarifa yako tuna shinda kwa makando kando fanyeni mnacho taka kufanyawakicheza bila makandokando hatuna shida
nye hata kushinda kwa makando kando ni bahati maana ni wabovuKwa taarifa yako tuna shinda kwa makando kando fanyeni mnacho taka kufanya