Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

kama walipaki basi kwanini yanga hawakubuni mbinu mbadala kuwavuta wafungue ili mfunge ,mbona unakuwa zezeta hivo
Nyie simmetoa nao sare dar sasa huo mdomo unatokea wapi? subirini show ya wanaume
 
Hiyo nguvu wangekuwa wanaitumia kwenye ligi yote wangekuwa mabingwa,ila Kwa huo upuuzi wataendelea kushuka na kupanda daraja
 
Makolo bhana...

Sijui huwa yanaangilia mechi za Makolo Queen ndo maana hawafahamu nini huwa kinaendelea kwenye ligi yetu!!

Akiwa kwao Coastal Union mara nyingi anachopata ni sare na sio ushindi!! Over the past 10 years, Coastal ameshindwa kwao mara 3 TU dhidi ya Timu la Wananchi, na mamechi mengi ana-force draw! Na mwaka huu, hata hiyo droo yenyewe atafanya kuisikia tu!

Mtu anatandikwa halafu Makolo mrudi hapa muanze kulia lia kuhusu GSM as if huyo GSM kaanza kuidhamini Coastal msimu huu!!
 
Siasa za Yanga na Simba msimu huu nimekuwa na sura ya tofauti sana. Kuna mashabiki wapo tayari hata ku-sacrifice vipato vyao ilimadi wapate nafasi ya kuiandika/kuisema vibaya Yanga
 
Hao Coastal Mwaka Huu Kwisha Habari Yao Palepale Mkwakwani Inabidi Tufe Nao.
 
Usiadaike kijinga hao hao wazee ndo watakaoisaidia Yanga kushinda,kwanza aliyekudanganya albadili na vitu haramu vinaendana nani???
 
Kweli naamini Yanga ni Timu kubwa Tz hii,, yaan ana mechi siku kadhaa mbele Ila match imekuwa moto na Kila Kona inazungumziwa Hali ya kuwa Leo Kuna fainali ya Mapinduz huko na inaendelea hv Sasa Ila hata Haijadiliwi..
Poleni sana Makolombwezo FC
 
Yaani na wewe unaleta habari za ushirikina kishabiki humu JF?
 
nimecheka kuna video ina trend walivyorudi toka Zanzibar pale bandarini walipokelewa na jagi (Kama kombe) huku wakizomewa.
mashabiki wa Simba hao....ila msimu uliopita Yanga walivyorudi walijifungia ndani,raha ya hili kombe mfunge kubwa jinga [emoji881][emoji16]
 
Kweli naamini Yanga ni Timu kubwa Tz hii,, yaan ana mechi siku kadhaa mbele Ila match imekuwa moto na Kila Kona inazungumziwa Hali ya kuwa Leo Kuna fainali ya Mapinduz huko na inaendelea hv Sasa Ila hata Haijadiliwi..
Poleni sana Makolombwezo FC
Wa tz wote timu yetu Yanga huku kwingine tupo tu kuchangamsha vijiwe lkn wote sisi ni wananchi [emoji169][emoji172]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…