Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

NYENYE
NYE NYE NYE
 
Upewe ulinzi usije jidhuru huu mwaka mbaya sana kwako
 
hoja yako ni ipi,kwamba hujuma mmefanya na albadri haijawapata,ama vipi? au ndo una mahaba na mimi ukinikumbuka tu unanifuata mbele mbele
Nna mahaba na wewe? [emoji35][emoji35] hayo mambo kafanye huko na wanaharamu wenzako upo comfortable kabisa kubambiwa na msela!?
 
Nna mahaba na wewe? [emoji35][emoji35] hayo mambo kafanye huko na wanaharamu wenzako upo comfortable kabisa kubambiwa na msela!?
nimeona unanifatafata(tofauti na mada) nikajua unataka nikufanye kama anavyofanywa Kabwili na msukule
 
Kweli naamini Yanga ni Timu kubwa Tz hii,, yaan ana mechi siku kadhaa mbele Ila match imekuwa moto na Kila Kona inazungumziwa Hali ya kuwa Leo Kuna fainali ya Mapinduz huko na inaendelea hv Sasa Ila hata Haijadiliwi..
Poleni sana Makolombwezo FC
Yanga ni Timu Kongwe yaani ina urefu tu wa umri, na ndo maana kwa ubora imetupwa mbali mno, kwahivyo haina faida kwa Taifa hili.

Timu Kubwa na Bora Afrika, na Afrika Mashariki na Kati ni Simba SC, yeye kuleta TANZANIA matokeo chaya Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…