Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani


Ndugu yangu taifa la kiarabu sio taifa teuli, na hakuna sehemu yoyote katika Quran imetaja taifa la kiarabu kama taifa teule, ni sisi binadamu ndio tunaipaisha. Quran imetaja sehemu takatifu ambayo ni msikiti wa Al-Haram (Mekka). Sehemu nyingine iliyotajwa kwenye Quran kama ardhi takatifu ni msikiti wa Al-Aqsa (Jerusalem). Hilo ndio tatizo la kukariri Quran kwa kiarabu bila kujua maana yake
 
Note my words... Mungu adanganyi, haitotokea hata cku moja ikapigwa saudi arabia... Mi naamin hivo 7b Mungu kaahid hilo... Na ndo mana saudi arabia inalibdwa na nchi za magharib

Acha uogo wewe Mwenyezi Mungu hata siku moja hajasema Saudi Arabia ni taifa teule. Taifa teule ni Israel according to Quran sura ya 2:47 :'' Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na
nikakuteuweni kuliko wote wengineo'' . Acheni kumzushie Mwenyezi Mungu mambo ya uongo
 

Mleta Mada hebu tutolee ujinga wako hapa na udini wako, Saudia hawajasaidia nchi yoyote Kwa Sababu za kibinadamu, wamesaidia Kwa Sababu za kidini hizo nchi ulizotaja hapo juu zimejaa waislamu kibao, na misaada yao inalenga kukomaza ugaidi duniani, Zanzibar kumejaa waislamu tupu, na wakisaidia Tanzania bara basi ujue ni misikiti ndo inapewa misaada usitufanye siye ni wajinga Kama wewe.
halafu Kama ni kupigwa watapigwa tu na hakuna mjinga yoyote atakayewasaidia, tayari CIA na MOSSAD wamefanya yao, wamefanikiwa kuwagombanisha dola kubwa za kiislamu ambazo ndo Saudia na Iran, ili waweze kutimiza malengo yao ya muda mrefu, lengo la Marekani ni kuilinda Israel Kwa gharama yoyote, Israel ni rafiki wa kweli wa Marekani, hao Saudia marekani hana shida nao zaidi ya kutaka mafuta tu, unaposema eti atayeipiga saudia atafutwa duniani ni Somalia, Djibouti, Ethiopia, Zanzibar, Sudan na allies wengine ndo wataifuta marekani na Israel?
Time will tell,
 
Saudia tupo pamoja katika hali zote
 
Saudia sio takatifu ila INA maeneo takatifu. Na wala haiongozwi kiislamu Bali na walfame wanaofuata dini ya kiislam.

Maneno kuntu kabisa! maana Mfalme Suudi aliwapindua Masheikh walokuwa wakiongoza katika dola la kikhalifa na kuanza kufanya mapinduzi na mabadiliko mengi sana, ukisoma historia utalia na kuumia! umeongea kweli tupu!
 
Mtoa mada umekurupuka sana, utambomoa wewe kama nani? Unajua utawala wa Saudia umewekwa na nani?
 
Mtoa mada kama katumwa hapa! Angalia watu wanavyotoka vipovu!!! Ninachofikiria Tz ingekua jangwa kama huko Saudi njaa Ingetumaliza.
 
Tena huo ukoo ni wakisraeli,ambao ilikuwa wengi walikuwa wanaoa wanawake wengi sana Wa kiarabu ili kuuongezea nguvu nakuwa mkubwa,chimbuko lao ao Saudi nilakusikitisha sana kama mtapenda nitawajuza
 
Wewee usiseme ukweli utapigwa
 
Wewe si muislam, sisi waislam tumeambiwa tukitetee kizazi cha mtume na taifa lake hata kwa kumwaga damu, ww ni kafir tu.
Toka umeijua saudia msaada gani walishakupa?ushasikia saudia kasaidia jirani zake km syria au iraq napoongelea kusaidia sio serikali ni wale wakimbizi wanaouawa!wazungu wanaafazali klk hao wasaudi mzungu atakupiga vita ila misaada ya kibinaadam atakupatia.embu jiulize km kuna mkimbizi kaingia saudia akapewa hifadhi?!ila ulaya wanapewa hifadhi.ungeniambia muhamad saw angekuwepo sawa ningetetea hili taifa ila c kwa sasa
 
Wewe si muislam, sisi waislam tumeambiwa tukitetee kizazi cha mtume na taifa lake hata kwa kumwaga damu, ww ni kafir tu.
Nani amekuambia ukoo Wa kifalme Wa Saudi ni wakiarabu,nchi inayojulikana kama yakiarabu ni bara Arabia na nasio Saudi,Saudi ni ukoo wenye asili ya waisraeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…