Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said
Taifa takatifu kwa Mungu wa Kiarabu? Hakuna atakaeliweza taifa teule linalotegemea kila kitu kutoka nchi za wazungu? Silaha zote zinatengenezwa na wazungu, chakula chote kinazalishwa na wazungu,mafuta yote yanachimbwa na mitambo ya wazungu hata chupi inayovaa Mwarabu anatengenezewa na wazungu.Mwarabu kupigana na mzungu ni sawa kipofu kupigana na mwenye macho.Majemadari wa kiarabu kama Saddam Hussein yuko wapi ,aliishia kwenye shimo la fisi na kukamatwa kama kuku.Osama bin Laden yuko wapi alijificha weee kwenye mapango na baadae kukamatwa kama kondoo.Gaddafi wa Libya alikosa mwelekeo wa kutorokea na badala yake alijisweke kwenye bomba la maji machafu na kukamatwa kama bata.Mwarabu mwingine yupi aliebaki ambae anaweza kuwasumbua wazungu.Wakati mwarabu lazima kwanza anunue zana za kupigania kwa mzungu mwenzake anafyatua ndege za kivuta kama matofali.Na sasa wanatumia ndege zisizokuwa na rubani zenye uwezo wa kupiga watu na akili zao.Na hivi sasa Waarabu wameshafitiniwa na mzungu na tayari wameshaaza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.Tazama Yemen, Syria, Libya,Iraq na kwingineko Uarabuni ni mauaji ya kutisha kila siku.Ni wapi duniani katika nchi za wazungu wanapigana vita? Nchi takatitifu na teule kwa vita na mauji ya kutisha kila siku?
Note my words... Mungu adanganyi, haitotokea hata cku moja ikapigwa saudi arabia... Mi naamin hivo 7b Mungu kaahid hilo... Na ndo mana saudi arabia inalibdwa na nchi za magharib
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
TAIFA TEULE LINAUNGA MKONO UNYAMA WANAOFANYIWA PALESTINE, IRAQ, LIBYA, MISRI NA SASA LINAUNGA MKONO ISIS? acha mzaha.ISRAEL NDIO TAIFA TEULE PEKEE DUNIANI, HAYO MENGINE NAKALA TUPU!
Saudia sio takatifu ila INA maeneo takatifu. Na wala haiongozwi kiislamu Bali na walfame wanaofuata dini ya kiislam.
Saudi nasio Arabia saudi niwalowezi Wa kiisraeli wafanya biashara waliokwenda uko miaka ya zamani kufanya biasharaSaudi Arabia toka lini wakawa na asili ya Israel tujuzane
Tena huo ukoo ni wakisraeli,ambao ilikuwa wengi walikuwa wanaoa wanawake wengi sana Wa kiarabu ili kuuongezea nguvu nakuwa mkubwa,chimbuko lao ao Saudi nilakusikitisha sana kama mtapenda nitawajuzaWewe acha ujinga Saudi Arabia ni nchi itakayo lipuka yenyewe bila hata kivamiwa na nchi nyingine. Tatizo la Saudi Arabia ni nchi ambayo ukoo mmoja unamiliki nchi na kula bata na watu watu wengine nikama mahouse boys na mahouse girls. Ni sawa Tanzania iwe inamilikiwa na kungozwa na ukoo wa familia ya dialo wa mwanza alafu watanzani hatuliliki chochote.
Wewee usiseme ukweli utapigwaNdugu yangu taifa la kiarabu sio taifa teuli, na hakuna sehemu yoyote katika Quran imetaja taifa la kiarabu kama taifa teule, ni sisi binadamu ndio tunaipaisha. Quran imetaja sehemu takatifu ambayo ni msikiti wa Al-Haram (Mekka). Sehemu nyingine iliyotajwa kwenye Quran kama ardhi takatifu ni msikiti wa Al-Aqsa (Jerusalem). Hilo ndio tatizo la kukariri Quran kwa kiarabu bila kujua maana yake
Toka umeijua saudia msaada gani walishakupa?ushasikia saudia kasaidia jirani zake km syria au iraq napoongelea kusaidia sio serikali ni wale wakimbizi wanaouawa!wazungu wanaafazali klk hao wasaudi mzungu atakupiga vita ila misaada ya kibinaadam atakupatia.embu jiulize km kuna mkimbizi kaingia saudia akapewa hifadhi?!ila ulaya wanapewa hifadhi.ungeniambia muhamad saw angekuwepo sawa ningetetea hili taifa ila c kwa sasaWewe si muislam, sisi waislam tumeambiwa tukitetee kizazi cha mtume na taifa lake hata kwa kumwaga damu, ww ni kafir tu.
Nani amekuambia ukoo Wa kifalme Wa Saudi ni wakiarabu,nchi inayojulikana kama yakiarabu ni bara Arabia na nasio Saudi,Saudi ni ukoo wenye asili ya waisraeliWewe si muislam, sisi waislam tumeambiwa tukitetee kizazi cha mtume na taifa lake hata kwa kumwaga damu, ww ni kafir tu.