Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Israeli wasemeje ? tumia akili ww
 
Saudi Arabia ni taifa lenye diplomasia ya ajabu Eclectic Diplomacy yaani uvae kanzu - na tai
 
Note my words... Mungu adanganyi, haitotokea hata cku moja ikapigwa saudi arabia... Mi naamin hivo 7b Mungu kaahid hilo... Na ndo mana saudi arabia inalibdwa na nchi za magharib
 
Mswalie Mtume Sheikh
Namaanisha, kama sio sahihi nisahihishe. Kwa imani yangu, hakuna taifa teule, isipokuwa kuna wateule.

Sheikh, mteule ni yule aliyemkana shetani, akampokea Yesu na akaishi maisha matakatifu. Dhambi kwake uisikie tu.

Taifa teule zamani lilikuwa teule bila kujali wamemfanyia nini Mungu. Mambo yamebadilika sana sheikh
 
saudi arabia aisee hata bure kule siendi nchi imejaa uzandiki ile balaa
Lengo lako hasa nini, unatafuta nini kwa kusema hivyo? saudia inautakatifu gani? Au unataka kushindana na wayahudi kwa umaanisha kuwa waislamu nao wananchi yao takatifu? Kwa nini mnaonekana mnatumia nguvu sana kulinda uislam, nini shida? kweli chema cha jiuza kibaya chajitembeza.
 
Saudia sio takatifu ila INA maeneo takatifu. Na wala haiongozwi kiislamu Bali na walfame wanaofuata dini ya kiislam.
Umenena sawa. Ni kweli kabisa Saudia sio nchi takatibu bali ina miji mitakatifu miwili.
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.

🙁🙁🙁🙁
 
Slavery mpaka Leo Saudia inawatumikisha wa Afrika kama naumwa na kutunyonya balaa, ukichanganya na ubaguzi wa rangi ndio balaa...

Wapigwe tu maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom