Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maka % madina Ukisema MACCA na MADINA unawapaisha wazunguUtakuta jitu lipo IKWIRIRI huko linapiga miayo tu halafu linakandia taifa teule lenye miji mitakatifu miwili MECCA na MADINA . Takbiiiir
ww nani?Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
Israel pia nd'o ilijenga hospital ya rufaa bugango MwanzaSiijui hiyo miradi inayofadhiliwa na Saudia.
Kwa mataifa mengine tunafahamu. Kwa mfano Marekani tunajua miradi mikubwa ya barabara na umeme iliyofadhiliwa na MCC, elimu kwa kupitia USAID, JWTZ
Denmark imefadhili sana afya kupitia DANIDA.
Japan ilifadhili miradi ya barabara na ujenzi wa maghala.
Kuwait pia iliwahi kufadhili ujenzi wa barabara na madaraja.
Finland imewahi kufadhili sana UDSM, na miradi mingine ya kijamii.
Israel ndiyo iliyokijenga chuo kikuu UDSM, pia walifadhili miradi ya kilimo, mafunzo ya kijeshi, n.k
Germany kwa miaka mingi imekuwa ikisaidia kitivo cha Uhandisi, mafunzo ya kijeshi, na miradi mingine mingi, etc, etc.
Netherlands imekuwa ikisaidia sana miradi ya kilimo cha umwagiliaji maji.
Uingereza imekuwa ikisaidia maeneo mbalimbali kwenye sekta mbalimbali.
China ilisaidia kwenye mafunzo ya kijeshi, kwenye ujenzi wa reli na viwanda vya nguo
Hiyo Saudia imesaidia nini? Sisemi kusaidiwa ni sifa au mataifa mengine yanalazimika kuisaidia Tanzania lakini tusipende kuyapamba mataifa au watu kwa sifa za uwongo.
Si kweli!Saudi Arabia ni nchi ya ki-mafia aisee ukiona jinsi wanavyoua watu wa YEMENI huku wakimpa hifadhi rais aliyeondolewa madarakani utajiuliza kunani? pia nilistuka pale walipo-react baada ya kumnyonga mhubiri wa dini na watu kuvamia ubaloz wao Tehran kisha wakadai wamekata mahusiano ya kibaloz na Iran ghafla na wafuasi wao huku Afrika nao (Sudani, Somali n.k) wakafuata nyao za bwana mkubwa bila kuhoji. Aisee mwenye pesa hata akinya mavi yake yataliwa tu kisa pesa.
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
wewe unayeelewa fafanua, ukishindwa basi ni wewe ndio huelewi.We huelewi unachokiongea
Saudi ni Kingdom Linafanya lolote litakalo...(na limeshafanya mengi bila kujali) !!Long live Saudi king long liiiive!
Secrete wasaudi Na Waarabu wengi ni WASHENZI tena sanaaa tu.Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?