Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

wana coalition yao matata sana,ina ndege idadi sawa na marekani,karibu ndege 18000 kwa ujumla,vifaru na selfpropelled artillery karibu pieces 50000,
hiyo coalition ni kubwa na yenye nguvu ,
hata hivyo iran kama kawaida huwa haina tabia ya kuvamia nchi karne za karibuni
na juzi walifanya mazoez ya kijesh na coalition yao makusudi ilikuwa ni warning kwamba they have a lot of allies..nafikiri kuna mtu hio message imemfikia
 
Hawa Wasaudia ni kundi la ku-support kigaidi liangaliwe.
hiyo mbona inafahamika,mojawapo ya shirica la misaada la saud lililokua likifund alqaida kipindi cha nyuma,liliongozwa na prince salman,ambae leo ni king salman bin abdullaziz al Saud
 
Saudi wanachuma pesa za maskini toka vinchi maskini vya kiafrika kama Burundi, Niger, Mali, Chad eti mtu anaenda kuhiji (baadhi kwa kujibana miaka kukusanya pesa , wakati hata kibanda hana, ukiwakuta pale Bole Int'l Airport (Addis Ababa) wakisubiria ndege ET utawaonea huruma mtu mzima kajifunga shuka utadhani katoka jando. Anawapelekea Dola waarabu huko Saudia, yeye akirudi huku njaa kali Daah hizi dini hizi asee!!
 
Ghadafi alisaidia sana mpaka akataka kuasisi umoja wa Africa, leo yuko wapi. Saudi Arabia itulie iuze mafuta, siku ikileta fyokofyoko itabomolewa tu. Mbona wahamiaji hawakimbilii Saudi Arabia?
 
Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Kati ya Saud Arabia na IRAN nani anapanga kumuangamiza mwenzake, hii nchi inatumiwa vibaya na Marekani, lakini afanye upuuzi wake wote mwisho asimguse Iran, atachapika kama mtoto...
 
Hivi mtume Muhamad (pbuh) alikuwa raia wa nchi inayoitwa Saud Arabia?
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Wale waarabu wamejaza Silaha hata kutumia hawawez Teh Teh.... Hana Jeshi Syria mwenyewe angeweza kuichakaza saudi Arabia, ameazisha Islamic State kutawala nchi za kiislam zinazoongozwa na wa Shia. Brake yake kwa Iran.. Hapo lazima atulie tu...
 
wana coalition yao matata sana,ina ndege idadi sawa na marekani,karibu ndege 18000 kwa ujumla,vifaru na selfpropelled artillery karibu pieces 50000,
hiyo coalition ni kubwa na yenye nguvu ,
hata hivyo iran kama kawaida huwa haina tabia ya kuvamia nchi karne za karibuni
Yote hiyo midoli, Saudi Arabia ana vifaa vingi sababu ya pesa. Hana Jeshi imara.... Mafunzo, tatics etc.. Irani anatengeneza intercontinental ballistic missiles ICBMs mwenyewe ana technology nzuri. Mwezi juzi tu ameteka wanamaji wa Marekani waliovuka mipaka, ndio ujue Jeshi sio hardwares tu. Kuna technology, tactics & training..
 
Bwana eeh mtajuana wenyewe hukohuko sijui wa saudia sijui wa wapi
 
Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Huko Saudia mbali,
Mngeanza kuwafuta kwanza hawa wanaoibomoa Zanzibar kwa nguvu zote kama hizi mnazotumia kumpigania Msaudia mgekuwa mmefanya jambo LA maana sana.
 
Yote hiyo midoli, Saudi Arabia ana vifaa vingi sababu ya pesa. Hana Jeshi imara.... Mafunzo, tatics etc.. Irani anatengeneza intercontinental ballistic missiles ICBMs mwenyewe ana technology nzuri. Mwezi juzi tu ameteka wanamaji wa Marekani waliovuka mipaka, ndio ujue Jeshi sio hardwares tu. Kuna technology, tactics & training..
sawa,saud wanatumia hela,wana vifaa,japo hawawezi kumligana technology na iran
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.

Zanzibar wamesaidia nini ?
 
Kwa hiyo mataifa teule duniani ni saudi na isarael.yaliyobaki yote ni najisi
 
Back
Top Bottom