Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Katika top 3 ya nchi zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi hoi nchi ipo. Ni wanafiki sana wanawabagua waafrika na kuwafanya watumwa mpaka leo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saudia haina demokrasia na ina utawala wa kikatili kupindukia kwa wenye mawazo na imani tofauti na wao. watu wanahukumiwa kukatwa kichwa katika karne ya 21. wanawake ni kama vitu sio binadamu. ilishathibitika siku nyingi magaidi wa isis, al qaeda, al shabaab, boko haram et al, wanafadhiliwa na wananchi wa saudia. matajiri wa kisaudi ndio wenye kufadhili ugaidi kote ili mradi ni kwa jina la uislaam wa kisaudia. wamepiga mabomu yemen mwaka mzima eti kusaidia serikali dhidi ya waasi. wakati huohuo wanasaidia waasi syria dhidi ya serikali. nchi inayoongozwa na falsafa kali ya dini na tajiri kupindukia sijui nini nafasi yake ulimwenguni katika karne ya 21 kama sio kuleta vita kila mahali. viongozi wa jamhuri ya kiislaam ya iran wanaonyesha kua na busara na kujali mtengamano na amani ya dunia kuliko hawa walinzi wa maeneo matakatifu ya uislaam.Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Vita ya kiuchumi na kisilaha kati ya Iran na Saudia haijaanza leo wala haijaanza miaka 100 iliyopita wala miaka 1000 iliyopita, hawa watu ni mahasimu wakubwa na siku zote wanafanyiziana tu.Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
Ebu niambie mkuu ni lini wamechangia kwy bajeti yetu.?Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
misaada mingi tanzania naona ni jica na watu wa amerika sasa hii saudia imesaidia nini hebu tufahamishe kdgMtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
Iran na saud ni suni na shia ndo ugomvi wao na marekani ipo upande wa saudMbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Me ni mwislam ila ishu y kusema hilo taifa linatoa misaada unatuongopea hakuna wenye roho mbaya na dharau km hao waarabu.
Ndo waanzilish wa al-Qaida dhidi ya ussr .huku marekani wakisaport kwa silahaWahabis kuanzia Pakistan,Yemen Somali nk,wamechukua elimu ya uislam kutoka Saudia,Saudia haisaidii chochote Duniani haitoi msaada wowote wa Kijamii,huko zanzibar sijasikia Msaada wowote wa kijamii isipokuwa nyama ya ngamia kwa misikiti michache....,Hawa wasaudia ndio wanaoleta balaa lote hili Duniani.
Marehemu Muamar Ghadafi ameshawahi kuwambia waichie Makka na Madina iwe na utawala wake,nje ya utawala UFalme wa Saudia kama vile ilivyo Vatican na Italia,,Hiyo ndio uliyomfanya Ghadafi apotee baada ya Saudi Arabia kuwatilia fitna kwa mataifa ya Magharibi....
Marekani yeye yupo pale kwa ajili ya mafuta tu. Visima vikikauka hata leo hii atachukua madege yake na kuondoka. Marekani hamkubali mtu kihivihivi tu...Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
atiiiiiiiiiiMyaonayo hayo mjue Mwana wa Adam yu karibu kuja. Take from me Dunia ipembezoni sana tujiandaeni tu kiama ki karibu.
Amemtumia sana kuchota mafuta Iran alikataa na kumtimua kibaraka shahTunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
atakaeichezea TANZANIA utamfanya ninia??????Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.