Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hii mada umeileta humu kwa sababu zipi? Na hivi nani kakudanganya kuwa saudia iko sawasawa kivita? Yemen nchi masikini duniani na inamtoa mavi saudia je hao wamarekani? Wewe utakua muislamu ulie danganyika na wala hujitambui. Kwanza saudia wanaamini hakuna waislamu bora duniani kama wao na waislamu wengine wote ni feki.Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Sina maana ya kuuunga mkono maudhui ya mada ila kuhusu suala la misaada tuweke rikodi sawa, kua:-Siijui hiyo miradi inayofadhiliwa na Saudia.
Kwa mataifa mengine tunafahamu. Kwa mfano Marekani tunajua miradi mikubwa ya barabara na umeme iliyofadhiliwa na MCC, elimu kwa kupitia USAID, JWTZ
Denmark imefadhili sana afya kupitia DANIDA.
Japan ilifadhili miradi ya barabara na ujenzi wa maghala.
Kuwait pia iliwahi kufadhili ujenzi wa barabara na madaraja.
Finland imewahi kufadhili sana UDSM, na miradi mingine ya kijamii.
Israel ndiyo iliyokijenga chuo kikuu UDSM, pia walifadhili miradi ya kilimo, mafunzo ya kijeshi, n.k
Germany kwa miaka mingi imekuwa ikisaidia kitivo cha Uhandisi, mafunzo ya kijeshi, na miradi mingine mingi, etc, etc.
Netherlands imekuwa ikisaidia sana miradi ya kilimo cha umwagiliaji maji.
Uingereza imekuwa ikisaidia maeneo mbalimbali kwenye sekta mbalimbali.
China ilisaidia kwenye mafunzo ya kijeshi, kwenye ujenzi wa reli na viwanda vya nguo
Hiyo Saudia imesaidia nini? Sisemi kusaidiwa ni sifa au mataifa mengine yanalazimika kuisaidia Tanzania lakini tusipende kuyapamba mataifa au watu kwa sifa za uwongo.
hakuna nchi yenye maeneo takatifu dunianiSaudi haina maeneo matakatifu bali ina maeneo matakatifu kwa waislam
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
HUJITAMBUI WEWE, SAUDIA ilishavamiwa siku nyingi na wamarekani. Na ndio maana hata usilamu wao unatia shaka.Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
Mchane, hajitambui huyo. Saudia tangu kitambo ni mali ya USA. Na viongozi wao wote wakubwa wa dini ni majasusi mapandikizi ya Mmarekani.Wewe mbulula kabisa,Saudi imewahi kulete msaada gani TZ?tende na maziwa ya ngamia? Kwanza Saudi ndio mfadhili mkubwa wa magaidi duniani hasa alqaeda na Isis,utakatifu wao uko wapi?unajua watu wangapi wananyongwa Saudi kwa makosa ya kijinga kabisa? Mpk leo wanawake hawaruhusiwi hata kuendesha magari Wala kuwa wanasiasa!nchi ya kidhalim kabisa ile,kajisomee upya uje apa,sio unakurupuka km mlevi wa togwa
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
vema sanaSaudia sio takatifu ila INA maeneo takatifu. Na wala haiongozwi kiislamu Bali na walfame wanaofuata dini ya kiislam.
walishaleta ujinga mbona......Saudia kama wataleta ujinga watabinuliwa Tu.
marekani hachukuwi mafuta saud,Marekani yeye yupo pale kwa ajili ya mafuta tu. Visima vikikauka hata leo hii atachukua madege yake na kuondoka. Marekani hamkubali mtu kihivihivi tu...
angalia juzi kati saudi arabia ilivyokata ties na iran ni nchi ngapi zilizomfuata na kufanya hivyo?haijalishi watu wanasemaje ila ukweli ulio wazi saudi arabia ndo taifa lenye allies wengi na ushawishi mkubwa kati ya mataifa ya kiislamu duniani....kama israel anavyoexist katikati ya maadui weng wanaomzunguka kiwa sababu tu ana strong friends ndvyo itakavyokua kwa saudia pindi atapotishiwa usalama wake,sioni nafasi ya iran kuitishhia iran moja kwa moja zaidi labda ataendelea kupiga kelele tu kama anavyofanya cku zoteTunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
ha ha ha,mkuu huwezi ukatawala dunia kama nchi ama ufalme uko legelege,hawa jamaa nao ndoto yao ni kutawala dunia labda miaka 100 ijayo.Siipend iyo nchi hao na nchi za waarabu ndo wanafadhil magaid
wana coalition yao matata sana,ina ndege idadi sawa na marekani,karibu ndege 18000 kwa ujumla,vifaru na selfpropelled artillery karibu pieces 50000,hujui kama wagalatia ndo watakua wakwanza kwenda kuikingia kifua saudia iwapo itatishiwa usalama wake?pia saudia ina marafiki wengi sana ambao wako tayari kuitetea itapoingia kwe shida