Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Libya mlisema hivyo hiyvo hatimaye mpaka Raisi wake alikamatwa na kuuawa,mpaka leo nchi iko hovyo.
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Marekani anamkubali Msaudia sababu ni uchochoro wa kutimiza Marengo yake kwenye Mataifa ya Mashariki ya kati,hivyo Msaudia hana lolote la kusema kwa Mmarekani
 
Taifa teule lenye miji mitakatifu ya MECCA na MADINA pia wamejitoa kindakindaki kusaidia nchi maskini nyingi toka barani Afrika zikiwemo Somalia, Sudan hata Uganda. Heshima kwenu ndugu zetu wa DAMU wana Saudi Arabia. Italia jifunzeni toka Saudi Arabia.
 
yani we jamaa hata uwezo wa kumchimba mkwara mkeo hauna,hii jeuri ya kutoa hili tamko unaitoa wapi? who r u by the way? freak!
 
Inawezekana ww una matatizo kwenye akili zako.ebu elezea ni mradi gani mkubwa unafathiliwa na saud arabia? Lkn taifa gani takatifu inayowaua raia wasio na hatia (wanawake wazee na watoto)huko Yemen??
 

Tende na nyama ya Kondoo.
 
Bila Saudi Arabia mikoa ya kusini umaskini ungekuwa wa hali ya juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…