Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nambie kwanini wakristo wa marekani na wa russia wanachukiana sanaWao wenyewe waislamu kwa waislamu huko hawapendani ila sisi weusi mkumbo tu
separate our mecca from Saudi Arabia
We wacha chuki za kidini... Historia ya utumwa unaijua???Apo umenena mkuu watu wengi ni wanafki saana afu wanajifanya wameshika dini ndo maana sisi wngne wanatuweka njia panda kwanza hayo maarabu yana roho mby sana tangu enzi za utumwa halafu yanatuambia tuffuate dini
Iran na saudia tangu lini wakaelewana kila mtu anamtafutia mwenzake propaganda tu ya ubaya.yaani bora tuangalie ya kwetu hapa.Vita ya kiuchumi na kisilaha kati ya Iran na Saudia haijaanza leo wala haijaanza miaka 100 iliyopita wala miaka 1000 iliyopita, hawa watu ni mahasimu wakubwa na siku zote wanafanyiziana tu.
Why leo kuingilia migogoro isiyotuhusu wakati inayotuhusu hapa Burundi na Zanzibar imetushinda?? na ni migogoro ya juzi juzi tu
nambie kwanini wakristo wa marekani na wa russia wanachukiana sana
Nchi yako inayoongozwa kwa sheria za kisasa mmefikia wapi ktk kujinasua na ufukara walau uhakika wa kupata mlo (wa kawaida) wa siku kwa kila raia? Usizungumzie huduma za kijamii wala matibabu.Saudi itaanguka yenyewe. Nchi inaongozwa kwasheria za miaka ya ujima. Ukooo wa kifalme ndio wana haki. We gine wote nikama mahouse boys. Ssaudi hata misri ambao ni wa sunni wenzao awawa-support kutokana wanvyowanyanyasa shia kwao ba hasa baharein na yemmen huku wa kijua kuna iran inayozidi kua na nguvu
Tofauti ya Italia na Saudi Arabia ni hii; Italia ni inchi inayojiategemea na kujiangalia yenyewe wakati Saudia ni nchi kibaraka wa USA, na ndio upenyo wa US kufanya mambo yake huko mashariki ya kati... Nadhali Trump ana ziara hivi karibuni kwenda kuimalisha uhusiano na kibaraka wake, ambaye huwa yuko against na nchi zingine za kiarabu.. Sasa kwa taarifa yako Italy hawana cha kujifunza kwa Saudia, hata sisi tu TZ hatutakiwi kujifunza kwa hao wanafiki kwa Waislamu wenzao.Taifa teule lenye miji mitakatifu ya MECCA na MADINA pia wamejitoa kindakindaki kusaidia nchi maskini nyingi toka barani Afrika zikiwemo Somalia, Sudan hata Uganda. Heshima kwenu ndugu zetu wa DAMU wana Saudi Arabia. Italia jifunzeni toka Saudi Arabia.
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.