Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Wao wenyewe waislamu kwa waislamu huko hawapendani ila sisi weusi mkumbo tu

separate our mecca from Saudi Arabia
nambie kwanini wakristo wa marekani na wa russia wanachukiana sana
 
Ungeongeza kuwa ilisaidia pia kampeni za Rodham ingawa alishindwa na Dolnald.
 
Apo umenena mkuu watu wengi ni wanafki saana afu wanajifanya wameshika dini ndo maana sisi wngne wanatuweka njia panda kwanza hayo maarabu yana roho mby sana tangu enzi za utumwa halafu yanatuambia tuffuate dini
We wacha chuki za kidini... Historia ya utumwa unaijua???
 
Iran na saudia tangu lini wakaelewana kila mtu anamtafutia mwenzake propaganda tu ya ubaya.yaani bora tuangalie ya kwetu hapa.
 
Nchi yako inayoongozwa kwa sheria za kisasa mmefikia wapi ktk kujinasua na ufukara walau uhakika wa kupata mlo (wa kawaida) wa siku kwa kila raia? Usizungumzie huduma za kijamii wala matibabu.
 
Saudi taifa lenye kila baraka toka juu
 
Tofauti ya Italia na Saudi Arabia ni hii; Italia ni inchi inayojiategemea na kujiangalia yenyewe wakati Saudia ni nchi kibaraka wa USA, na ndio upenyo wa US kufanya mambo yake huko mashariki ya kati... Nadhali Trump ana ziara hivi karibuni kwenda kuimalisha uhusiano na kibaraka wake, ambaye huwa yuko against na nchi zingine za kiarabu.. Sasa kwa taarifa yako Italy hawana cha kujifunza kwa Saudia, hata sisi tu TZ hatutakiwi kujifunza kwa hao wanafiki kwa Waislamu wenzao.
 
We unaongea utumbo mtupu na unamahaba na saudia ila kumbuka kwamba waarab mwenzao anapopigwa wao atahawamsaidii kaz kupiga kelele tu mfano afaghanstan Iraq Libya na hata syria mmarekan anawanyoosha vilivyo nakuwanyonga hao,miungu watu wao gaddafi saadam Osama mchana kweupe hao,palestina ndio haswaaa ni kuku wa kafara kwa waisrael kilasiku wanadundwa shida kubwa,ya waarab ni unafki ndo mana wakimbz wa syria wanaenda kuokota makombo kusafisha vyoo nchi za maGharib huku warab wenzao hawawap hifaz hiyo saudia haina lolote ni swala la muda tu kabla haijawa magofu
 
eti mtu mweusi anakaa na kashina mandondo anaaandikq kwamba atailind saudi. Unathani wao wako tayari kuilinda Tanzania. Manina sijui weusi tuna laana gani
 

Mtamfuta nani kwenye uso wa dunia nyinyi watu mnafungiwa ndani na viteja vya panya road wa Tandale?
 
Bravo Saudia. Tupo pamoja, Endelea kutusaidia tende nasi tunakuletea wajakazi. Endapo taifa lolote litaleta chokochoko tutaarifa tutamnyamazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…