Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Naona siku hizi msimamo wako umebadirika unaona huu uzi ni pumba wakati ume_like sana comments za Joshua ngoja nifukue makaburi ukome
Eti Nikome Khaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Note my words... Mungu adanganyi, haitotokea hata cku moja ikapigwa saudi arabia... Mi naamin hivo 7b Mungu kaahid hilo... Na ndo mana saudi arabia inalibdwa na nchi za magharib
Mungu gan mkuu wakat MUNGU ndio alo ahidi kama Qaaba ita haribiwa kabisa ama umeasahau mkuu ama hujawah sikia hili ?!
 
Hadi Raha adui mkubwa wa nchi za kiislamu ni waislamu wenyewe
 
Tofauti ya Italia na Saudi Arabia ni hii; Italia ni inchi inayojiategemea na kujiangalia yenyewe wakati Saudia ni nchi kibaraka wa USA, na ndio upenyo wa US kufanya mambo yake huko mashariki ya kati... Nadhali Trump ana ziara hivi karibuni kwenda kuimalisha uhusiano na kibaraka wake, ambaye huwa yuko against na nchi zingine za kiarabu.. Sasa kwa taarifa yako Italy hawana cha kujifunza kwa Saudia, hata sisi tu TZ hatutakiwi kujifunza kwa hao wanafiki kwa Waislamu wenzao.
FACTS MKUU
 
kwa hiyo mkuuu mmejipanganje kuwabomoa hao watkaoigusa Saudia?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] madhara ya viroba kupigwa marufuku watu wanathink below human standard
Hehehehe[emoji2][emoji2][emoji23]
 
Kwa maoni yangu, mtoa mada nadhani umejichanganya kidogo.
Umeorodhesha nchi kadhaa zilizopata misaada kutoka Saud Arabia.
Kama nchi iliyotoa misaada imekula KICHAPO na haijaweza kulipa kisasi, je, nchi zilizopata misaada zitawezaje kupambana na WABABE?
 
hahaha! US anamkubali saudi wakati ufalme huu umewekwa na Wao baada ya 'kumchinja' ikulu ya saudi faysal. Hujui kua fahad alikua trained US.? Hawa saudi wanapata msaada wa kijeshi kutoka US. Ufalme wa saudi ni kinyago kilichochongwa na US hakiwezi mtisha. Ogopa sana haya mataifa yaitwayo matakatifu, ndio yaongozwayo na wicked leaders na wanasurvive kwa cover ya utakatifu. Na bahati mbaya sisi 'waafrika' sababu ya 'ujinga' wa 'ushabiki wa dini' tunawatukuza.
Ongeza sauti wasikie vyema
 
Back
Top Bottom