Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Ishu ya yule kanjanja imetengeneza kuchafua taifa teule. HATUKUBALI
 
Kwa vile kila damu ya waislamu inapomwagika kuna mkono wa Saudia, basi na wao watapigwa tu hadi miji yote mitakatifu irudi mikononi mwa waislamu. Na waislamu wote wewe salama dhidi ya fitna za Saudia
You nailed it [emoji817] [emoji817]
 
Wewe mbulula kabisa,Saudi imewahi kulete msaada gani TZ?tende na maziwa ya ngamia? Kwanza Saudi ndio mfadhili mkubwa wa magaidi duniani hasa alqaeda na Isis,utakatifu wao uko wapi?unajua watu wangapi wananyongwa Saudi kwa makosa ya kijinga kabisa? Mpk leo wanawake hawaruhusiwi hata kuendesha magari Wala kuwa wanasiasa!nchi ya kidhalim kabisa ile,kajisomee upya uje apa,sio unakurupuka km mlevi wa togwa
Duh!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
HUJITAMBUI WEWE, SAUDIA ilishavamiwa siku nyingi na wamarekani. Na ndio maana hata usilamu wao unatia shaka.
Saudia siyo nchi ya kiislamu ni nchi ya kigaidi na inaongozwa na magaidi ambao wanakalia kimabavu sehemu takatifu za waislamu ipo siku waislamu watazikomboa sehemu hizo dhidi ya hawa magaidi walioziteka na kuzitawala kwa sasa
 
Saudi ni makafiri,wanaua watu bila hatia.

Mleta uzi anasema wanasaidia sijui nchi gani,za kiislamu,Ni wabaguzi tu.

Wasaidie na Italy,kenya na Kilimanjaro huko uchagani wapeleke msaada
 
Saudi ni makafiri,wanaua watu bila hatia.

Mleta uzi anasema wanasaidia sijui nchi gani,za kiislamu,Ni wabaguzi tu.

Wasaidie na Italy,kenya na Kilimanjaro huko uchagani wapeleke msaada
Sehemu za kimanzichana, Mkuranga, kibiti, wasaudia wamesaidia miradi mingi ya visima vya maji
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.

Shombo la waharabu mna tabu sana ...na nyie mnajiona waarabu sio.....
 
KWA TAARIFA TU:: Saudia ni moja ya nchi iliyowekeza pakubwa nchini Marekani ikiwemo SILICON VALLEY
Inasikitisha sana kwa mtu kama wewe
Kuwatetea watu hawa ambao dunia nzima inajua uovu wao.
Inawezekana ukawa haujafahamu ukweli au unajitoa tu ufahamu
fact ni kuwatetea?
 
Back
Top Bottom