Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Kunawapenda wananchi wa Saudis lkn sio uttawala wa kifalme wenye kutoa misaada ya tende na mbuzi wa hija kwa waafrika.
Wenye kutumia tri 20 kwa ajili ya vita vya Yemen kwa mwaka pesa ambayo ni mapato ya tz kwa miaka 20.

Tunawapenda wamarekani lkn hatulipendo jinamizi Trump

Tunawapenda mayahudi lkn hatuwapendi wazayuni. Sera ya nje ya mataifa haya yanauzalisha janga la ugaidi duniani.

Kuna umuhimu kwa walimwengu ukafahamu hilo
 
Nani kasema hili neno wewe au saudia wenyewe au baba lao naona kama neno lenye umamlaka ndani yake
 
Hivi mataifa teule yapo mangapi? Uteule wake bado upo hadi leo? Huyu mungu huenda naye siyo mungu
huyo mumgu mtume wake anasisitiza AOMBEWE mwenye macho na masikio atakuwa amenielewa
 
Marekani amelikalia kalia taifa takatifu... Akalishika shika mpaka msipotaka pashikwe shikwe... Amewabonyeza bonyeza na kuwaingiza ingizaa... Mumfute kwenye ramani ya dunia tuone
 
Hamna taifa takatifu duniani ..acheni upumbavu wenu
 
Hapa sijaelewa ina maana nyie maskini mnaoishi kwa msaada wa Saudia ndo mtawapiga watakao ishambulia Saudia?
 

Tangu nianze kujua kusoma na kuandika cjawahigi ona msaada wa nchi za kiarabu??

Yaan hawa watu n wabinafsi na wachoyo!!... wala hutawasikia wakichangia hata nchi za waislam wenzao zenye majanga!!

Cha ajabu n zile zile nchi za magharibi utazisikia zikisaidia ...nchi ambazo wanavodai hazimjui mungu!![emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaomjua sasa[emoji23][emoji23]!! Yawezekana ile hadith zinasemazo mtoto wa ruthi alimsaidi kuficha uchi wa babae ndo alienda maghairib ndo akazaaa wazungu” labda n kwel
 
Akili za kimaskini hizi shida sana. Saudi inakupa msaada wa tende, masahafu halafu unawapelekea mamilioni ya fedha kwenye utalii wa kidini (hijja). By the way, saudia sio nchi takatifu, ila inaeneo linaloaminiwa kuwa 'takatifu'.

Vipi lakini watakatifu wamemchinja na kumtengeneza slice kashoggi! Vipi washaacha kufadhili ugaidi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…