Atakayetangazwa Mafurikoni Vyurani Weekend hii siyo Augustine kama Wengi mnavyodhani bali ni Simon

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mafurikoni Vyurani kwa sasa hawana haja ya Augustine kwani wana akina Augustine wa Kutosha, ila kwa Simon wana hitaji nae Kubwa kwakuwa Kwanza Mazingira yote anayajua, Pili katokea hapo na Tatu hata kama asipolipwa hatopiga Kelele sana kwakuwa hata Yeye pia amebebwa sana na hao anaenda Kujiunga nao.

Anatangazwa rasmi Jumapili hii tarehe 31 Desemba, 2023 japo ilitakiwa Atangazwe Jana Alhamisi tarehe 28 Desemba, 2023.
 
Huyu hapa
IMG-20231228-WA0021.jpg
 
sasa shida huyo diego simione kajiandikisha bima na afya ya nje ya nchi hii ya kwetu eni hechi efu haitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu genta? Mbna hata mwanamichezo mkubwa mick jr kasema ni okrah ??
Yeye ni Mwanamichezo mkubwa Kwako na Mtandaoni ila Mimi GENTAMYCINE ni Mwanamichezo mkubwa Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022, Tanzania, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Ni Simon na siyo Augustine usinibishie.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Hahahaha, nimependa ulivyomjibu , umemjibu kikubwa sana..wewe una tuzo ..anayesema mkubwa hana tuzo yoyote ktk hili kula TANO KUBWA
 
Mafurikoni Vyurani kwa sasa hawana haja ya Augustine kwani wana akina Augustine wa Kutosha, ila kwa Simon wana hitaji nae Kubwa kwakuwa Kwanza Mazingira yote anayajua, Pili katokea hapo na Tatu hata kama asipolipwa hatopiga Kelele sana kwakuwa hata Yeye pia amebebwa sana na hao anaenda Kujiunga nao.

Anatangazwa rasmi Jumapili hii tarehe 31 Desemba, 2023 japo ilitakiwa Atangazwe Jana Alhamisi tarehe 28 Desemba, 2023.
Yani ni kama mpo kwenye vijiwe vyenu vya umbea mnajisimuliana wenyewe.
 
Popoma acha kupotosha

Hatukati jukwaa la sports

Endelea kupost huku kwa mafumbo

Hutakuja tena jukwaa la sports hadi uniombe radhi nikufungulie
 
Back
Top Bottom