Atakayetoa taarifa sahihi ya kupatikana Mzee Michael Juma, zawadi Tsh 500,000/ au zaidi

Fuata huu ushauri Mkuu!
 
Nendeni hapo Gerezani mchukue Check no ya Mshahara wake mwende Pensheni mkaangalie kama bado anapokea Kiinuwa Mgongo chake! Mtapata Acc na Tawi la Benk anapochukuwa pesa za penshen Simple
 
Nikusaidie mawazo, nenda Magereza HQ kitengo cha kumbukumbu wakupatie detail zake....

Unaweza kufanya formal application lakini pia kama alikuwa mwajiriwa, hazina Kuna kumbukumbu zake.... huyo aliyewahi kufanya NAYE kazi pia anaweza kuwasaidi... chuo alichosoma, waliosoma naye, gereza alilofanyia kazi kabla na baada,

KOTE huko huwezi kosa CONNECTION. Lakini pia kabila na eneo alikotoka.... sana sana hilo gereza la iramba unaweza kutegua kitendawili hiki....
 
Fuata huu ushauri Mkuu!
Sawa Asante mungu akubariki
Nendeni hapo Gerezani mchukue Check no ya Mshahara wake mwende Pensheni mkaangalie kama bado anapokea Kiinuwa Mgongo chake! Mtapata Acc na Tawi la Benk anapochukuwa pesa za penshen Simple
Kwake si rahisi maana kwa mjibu wa mtoa taarifa wetu aliacha kazi miaka hiyo ya 1989S
 
Nendeni hapo Gerezani mchukue Check no ya Mshahara wake mwende Pensheni mkaangalie kama bado anapokea Kiinuwa Mgongo chake! Mtapata Acc na Tawi la Benk anapochukuwa pesa za penshen Simple
Kwake si rahisi kwa mjiibu wa mtoa taarifa wetu aliacha kazi miaka ya 1989S au 90
 
Watu wengine sijui tumeumbwaje? Umesema weka dau la mil 1 nikutafutie, akasema sawa, sasa unaleta hadithi nyingine ndeeeeefu!
 
Ngoja nipite kule maana naona suala la mtoto wa mchepuko kumtafuta Baba yake. Ila mkuu huoni kama unaenda kuvuruga ndoa ya watu?kisa watoto wanamuulizia Babu yao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani mama Anna na Anna wanasemaJe ?!. Na wako wapi ?
 
Wa nje sio watoto bali wavurugaji wa amani za ndoa. Kutana na mchepuko jeuri utachukia kila kitu kinachotoka tumboni mwake. Napita vileee maana NAWACHUKIA SANA SIDE KIDS.

Mimi sio kaka ni dada,mama,bibi
Side kids wamekukosea nini??
 
Watu wengine sijui tumeumbwaje? Umesema weka dau la mil 1 nikutafutie, akasema sawa, sasa unaleta hadithi nyingine ndeeeeefu!
brother punguza makasiriko niliposema aweke dau nilimaanisha niache baadhi ya shughuli zangu ili nimsaidie yeye kwani kazi yake inaweza chukua mpaka siku 3, na hapo kote ninapotafuta hizo taarifa lazma watu niwapoze jpo najuana nao wengi tu sababu ukienda kisheria kuna mlolongo mrefu.

pia nikampa hatua za kufanya endapo hyo hela hana au ana mda wa kufatilia na kumaambia kabisa kama atashindwa ani dm ili nijue amefika wapi na nimuunge na nani free bila charge.

hapo kosa langu liko wapi?
 
Ila uelewe duniani pesa siyo kila kitu, nakutakia maisha marefu utakuja kuprove hili.
 
Kosa lako ni kuanza kutoka maelezo kwake badala ya kupanga namna utakavyomsaidia. Mimi nilitarajia ungemwambia njoo tukutane au tuwasiliane kwa mipango zaidi. Hilo la kuweka dau hata mimi nimeelwa kwa sababu shughuli kama hiyo ni lazima utaacha kazi zako na itabidi uzunguke sana. Kama unaweza ni vizuri mzungumze kwa kina ili mpange na kujua kukadiria gharama hasa ikizingatiwa kuwa zinaweza kuwa kubwa kuliko unavyodhani. Au basi uongozane naye angalau kwa hatua za mwanzoni.
 
Kaka wewe fanya part yako Wala hakuna shida kuwa na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…