masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Made my dayMzee Michael Juma uko wapi baba me naitaka hela hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Made my dayMzee Michael Juma uko wapi baba me naitaka hela hii.
Maisha ndo maisha ya watu wa Dar kuuliza sh 500, kupelekwa 1000!
Asante sana kakaKAka mtafte geah habibu mwelezee...utampata mapema mnoo .clouds ndo wanafaa kwa bandiko hili
Naheshimu Sana ahadi na pia naogopa mwenyzi mungu kwangu Hilo halipoIngia inbox yako mkuu afu utakuja kutoa mrejesho wako hapa hiyo hela usinizurumu lakini.
Lazima awe mtu sahihiLazima awe yeye mwanzo mwishoo?Je kama Kuna Mzee anajina kama Hilo,vp anafaa?
Kama bado anapokea pensheni ni raisi kumpataKwa miaka inyaozungumziwa sidhani kama watumishi walikuwa wanalipwa kwa cheque number!
Nimeshamtafuta,nitakujisha timefikia wapi akifanikisha pia nitampa shukrani yakeKAka mtafte geah habibu mwelezee...utampata mapema mnoo .clouds ndo wanafaa kwa bandiko hili
nenda magereza utapata taarifa zakeMtakumbuka mwaka 2018,April niliweka hapa jukwaani mada isemayo Anatafutwa Mzee Michael JUma Mkazi wa Mtwara na Masasi.
Kiufupi kwa wale ambao hawakupitia uzi huu mda ule Ni kuwa huyu Michael Juma alikuwa Ni Askari magereza katika gereza la musoma miaka ya 80S.Alikwa na Mke anaitwa Mama Ana(bahati mbaya hatukupata jina la huyu mama maana huyu ANA Ndo mtoto wao wa kwanza kuzaliwa)Huyu mzee alikuwa Ni mmakonde wa Mtwara na alikuwa anasema wazazi wake baade waliamia mtwara mjini kutokea Masasi.Mke wake huyu alikuwa Ni mnyiramba kwao singida na inavyoonekana aliamia musoma toka gereza la singida na huyu Mama ANA.Lakini pia kwa mjibu wa mtoa taarifa wetu Ni kuwa kwenye miaka ya 1989 au 1990S aliacha kazi na kurudi kwao mtwara na kujishugulisha na kazi ya fundi seremala maana yeye kazini kwake alikuwa kwenye section hiyo.Bahati mbaya pia hatukuweza kupata jina lake la ukoo au Kijiji alipokuwa akitokea either Cha masasi au mtwara.
KWA NINI ATAFUTWE?Anatafutwa ili kijana wake apate kumjua na pia Kama Yuko hai amuhudumie maana kwa Miaka hiyo huyu ndugu yangu hakuwahi kumwona na hamjui mpaka sasa Ni mtu mzima mwenye maisha yake binafsi na kinachomtesa Ni watoto wake wanasumbua juu ya babu yao.
Tumeshafanya jitihada kubwa kumsaka bila mafanikio Mara ya mwisho tukipata taarifa toka kwa mtu alikuwa anafanya nae kazi mwaka huu apo tabora alitueleza alikaa mda baadae yeye akahamishia tanga kumbe hapakuwa Tena na mawasiliano na kipindi hicho mawasiliano yalikuwa Ni shida adi muonanapo Ana kwa ana tofauti na sasa.Kwa sasa huyu aliyepata kufanya nae kazi Ni mstaafu anachokumbuka tu Ni jina.Pia tulifika alipokuwa anafanyia kazi bila mafanikio kutokana na mda kwenda na mfumo wa utunzaji kumbukumbu wa mda huo.
Tunaomba kama Kuna mtu ana A,B,C juu ya andiko hili au ata Ana,ndugu wa karibu ,au watoto wa Ana Kama Mungu alimjalia na watu wote wenye mapenzi mema watujulishe na Zawadi itatoka siyo ya kusubilia Ni papo kwa papo cha msingi utupe uhakika wa taarifa sahihi. Najua JF Kila siku wanaongezeka members wapya na hii inatufanya tuje apa Mara kwa Mara.
Naomba tu matapeli wakae pembeni maana Kuna mda nililipoti apa juu ya mmoja wao akitaka kutuchezea(nafsi hiyo haipo Tena)tunafanya analysis Hadi tujiridhishe Ndo unapewa pesa yako bila shida.Asanteni,Tutafute kupitia 0789443404/0762364740
Kanambia wao huwa wanafanya mwezi wa tano tu na si vinginevyo na ni kwa ajili ya mama kumtafuta mtoto au mtoto kumtafuta mama tu.Nimeshamtafuta,nitakujisha timefikia wapi akifanikisha pia nitampa shukrani yake
Matapeli hawakosi maneno ya mtego ya kuvutia!!Huna baya !! Binafsi nimekuelewa sana ushauri ulompa ! Spot on.
Wao au wazazi wao? Wao kosa lao ni kuzaliwa ama?Wanavunja ndoa kizembe
Wao au wazazi wao? Wao kosa lao ni kuzaliwa ama?
watoto hawana kosa ni ujinga wa wazazi na hao wanandoa.Kama nawe na hao pole sana