Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
- Thread starter
- #81
Kwetu tutakuwa hatuna kosa kwa mungu kwa kuwa tulidhamilia kwa Nia njema na tutakuwa tumeutua mzigoVipi kama hataki kupatikana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu tutakuwa hatuna kosa kwa mungu kwa kuwa tulidhamilia kwa Nia njema na tutakuwa tumeutua mzigoVipi kama hataki kupatikana ?
Nenda uhamiaji then wape hilo jina, aidha itakuja jina kama alikuwa na passport au kuna mmoja wa watoto wake ana passport so ikitokea hivyo unaweza kumtrace huyo anayemiliki passport. Ni wazo tuAsante apa pia Ni mhimu ngoja tutafanya
Nadhani haujajibu Swali..., Watu kupotea na kujipoteza huwa wana sababu zao sio vibaya kumtafuta kwa siri na polepole mwingine unaweza kumtafuta kumbe aliwatelekeza na huko alipo ana familia zake watata hivyo kuliko kuwafurahia akawakimbia sisemi ndivyo hapana ila uwezekano upo....Kwetu tutakuwa hatuna kosa kwa mungu kwa kuwa tulidhamilia kwa Nia njema na tutakuwa tumeutua mzigo
Nenda Facebook angalia magrouop ya mikoa aliyowah Kuishi Kisha join andika tangazo utapata taarifa zake bila kutoa hata pesa
Mimi niliwapata nduguzangu Kwa njia hiyo ya ni Muda wa sikumbili tu nilipata mawasiliano yao na Ilikuwa miak kumi tangu tupotezane
Mungu hakuumba ndoa.Mengine ni mbwembwe za binadamu tu.Wa nje sio watoto bali wavurugaji wa amani za ndoa. Kutana na mchepuko jeuri utachukia kila kitu kinachotoka tumboni mwake. Napita vileee maana NAWACHUKIA SANA SIDE KIDS.
Mimi sio kaka ni dada,mama,bibi