Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Aminisha dunia nzima kuwa Mungu hayupo kuangaika humu JF inaonekana wewe una uelewa mdogo sana.
Hata kama ni kweli mimi nina uelewa mdogo, hilo nalo litakuwa linathibitisha kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Maana, angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na viumbe wenye uelewa ndogo.

Unaiongezea nguvu point yangu tu.
 
Nenda mikoa ya usukumani vijiji vya ndani ndani huko uongee huo ujinga
 
Huna point yeyote upuuzi tu umekujaa.
 
Siku ukianza kuitwa mchawi baada ya mafanikio ndo utajua kwamba uchawi haupo.
Mimi kuna mdogo wangu niko karibu naye sana, kuna ndugu zake wameanza kumwambia awe makini na mimi[emoji3]
 
Huna point yeyote upuuzi tu umekujaa.
Hujaonesha upuuzi uko wapi, hivyo wewe ndiye umekuwa huna point.

This logical fallacy is called "ad hominem".


Ad Hominem Fallacy​

Ad hominem means “against the man,” and this type of fallacy is sometimes called name calling or the personal attack fallacy. This type of fallacy occurs when someone attacks the person instead of attacking his or her argument.
 
Hauamini uwepo wa Mungu sawa, Why ?
 
Hauamini uwepo wa Mungu sawa, Why ?
Kwa sababu hakuna sababu za kimantiki za kukubali uwepo wa Mungu.

Kama unafikiri zipo, zitaje tuzihakiki.

Mtaje Mungu wako, taja sifa zake, sema kwa nini ni lazima Mungu huyo awepo.
 
hahahaha..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…