Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Jidanganye,uchawi hutumia majini ambayo husafiri.Na pia unalogeka ukiwa na sababu mda mwingine,Mara nyingi uchawi usio wa kawaida ni kuharibiana nyota,familia za kiafrika hatupendani,watakuonea wivu ili wakuibie nyota.
Hayo mambo ya nyota mtu akiongea naona aibu mimi.
Inasikitisha sana.
 
uchawi/mchawi siyo kujua kila kitu acheni hayo mawazo, uchawi ni kufanya/kujua jambo tofauti na kawaida na huwa ni kwa msaada wa mashetani ya kijini.

huyo mchawi anachagua jambo maalumu analolitaka kisha shetani anamsaidia chap. na wala siyo kila jambo atakalotaka basi shetani ataweza kumfanyia/kulifanikisha laa! kuna mengine anapigwa puu tu ndomana mnahimizwa kujiweka safi mda wote, kujiombea dua na kuepuka mambo maovu mda wote kwani ndiyo yanayofanya shetani adunde akikujia

mfano mganga anataka kujua fulani yupoje basi shetani atakwenda kwa spidi ya mwanga kumpeleleza huyo mtu yupoje na kwa vile hiyo siyo kazi kubwa kwa haraka tu analeta majibu. watu kwa kutokuelewa wanabaki kumsifu tu mganga anajua siri kumbe hawajui kwamba kajuzwa na shetani.

wakina kiranga wao wanadhani mtu akiwa mchawi basi anaamua tu lolote na likawezekana mfano kuhack akaunt za fedha, aende popote atakapo kwa muda wowote, anajua mtu anachowaza, ajue kila siri... no huyo sasa atakuwa siyo mchawi tena bali ni mwenyezimungu

hayo mambo yote wanayofanya wachawi na mashetani yao hayafanikiwi ila kwa masharti magumu magumu wanayowekeana wao kwa wao na masharti hayo yanawagharimu/yanawadhuru hata wao wenyewe kwahiyo siyo rahisi kama mnavyodhani.

twende kwa mfano wa muvi tu mtu anataka mali fulani imefungiwa sehemu anaambiwa ramani ya kufika huko anayo fulani na fulani yupo nchi za mbali huko kisha ramani inaonesha kuna sehemu ukifika utakuta vizuizi fulani lets say wanyama wakali inabidi uende na kitu fulani kisha kuna walinzi kadhaa mbele itabidi uende na kitambulisho fulani ndo wakupokee maana yake inabidi ukakipate hiko nacho... mbele huko inabidi uwe na almasi ya kukatia kufuli nk. kwahiyo unakuta mission inahitaji pesa nyingi sana, nguvu za mwili, watu wengi na muhimu, akili nyingi, muda mwingi wa kutosha nk.

kwahiyo mtu akisema nipe jina la mama yako nikuroge ukimwambia alitafute mwenyewe maana yake unampa mission ndani ya mission. au wale wanaosema kwanini mchawi asiweze kujua na kukwapua fedha benki, kwanini asiweze kusafiri popote atakapo na kadhalika hawajui kwamba yote hayo yanagharimu? unakuta jambo lingine unaambiwa kulifanikisha itakubidi utumie miaka 20 sasa wakati huo wewe una 45 ndo unakuta mtu anakata tamaa maana hilo ni moja tu wakati inatakiwa likamilike hilo ndo likamilishe na mengine kama manne mbele
Umejikanyagakanyaga sana mkuu na hakuna la mana hata moja umeongea.
Sorry
 
Kazi ipoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oya mko serious kwani bado kuna mtu alileta uzi umu kusema umu ndan kuna wachaw nyie aya
Kama nikikwambia ndani ya wiki ijayo ndugu yako ataugua au kujikwaa na wewe ukakubali kwamba mimi ni mchawi / mganga basi nadhani biashara hii ina wateja lukuki.... Probability ya hilo kutokea ni kubwa kuliko kutokutokea... (after all sidhani kama utafuatilia ndugu zako wako kama wamejikwaa), Au nikwambie leo hii kwamba ndani ya masaa 24 utawashwa sikio au kisogo (utaanza kujisikilizia na huenda kweli ukawashwa)

Mfano ukikusanya watu random 23 kwenye chumba kimoja na ukawauliza siku zao za kuzaliwa ni rahisi kwa wawili kuwa na birthday moja kuliko vinginevyo (ingawa kwa haraka haraka unaweza usione hivyo). Its all happenstances
 
Hiyo kujikwaa nilijua kufa as another word but izi ni kaz za watu atuamini lakini nothing is impossible under the sun
 
Hiyo kujikwaa nilijua kufa as another word but izi ni kaz za watu atuamini lakini nothing is impossible under the sun
Kama ni kufa nakupa miezi sita utasikia kifo cha mtu unayemjua, sio lazima ndugu yaani hata unayemjua kwa jina au ulishawahi kumuona au kumsikia
 
Back
Top Bottom