F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Weka majina yako utaleta majibu mwenyewehuna jeuri hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka majina yako utaleta majibu mwenyewehuna jeuri hiyo
stupid foolWeka majina yako utaleta majibu mwenyewe
hivi hizi takataka bado zipo 😂
Kama unaamini uchawi haupo it means unaamini Mungu hayupo pia, swala la kutorogeka ni jingine huenda nawe ni mchawi gwiji au mtu wa dini sana.Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari. Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu. Albino, Vipara, wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason. Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga. Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa, basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka. Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi. Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi. Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.
View attachment 2615624
Huwajui walimwengu vizuri.. yaani nimecheka sana leo kwa upumbavu ulioandika.. lool Tanzania sirudiHello Africans.

Sijakuoana ila ni bonge la mnaaaafiki aiseee! Uo unafiki tayari umelogwa wewe!Hello Africans.

Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao[emoji23]
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.
View attachment 2615624
Kawaida ni nini na tofauti na kawaida ni nini na unajuaje hii ni kawaida na hii ni tofauti na kawaida?uchawi/mchawi siyo kujua kila kitu acheni hayo mawazo, uchawi ni kufanya/kujua jambo tofauti na kawaida na huwa ni kwa msaada wa mashetani ya kijini.
huyo mchawi anachagua jambo maalumu analolitaka kisha shetani anamsaidia chap. na wala siyo kila jambo atakalotaka basi shetani ataweza kumfanyia/kulifanikisha laa! kuna mengine anapigwa puu tu ndomana mnahimizwa kujiweka safi mda wote, kujiombea dua na kuepuka mambo maovu mda wote kwani ndiyo yanayofanya shetani adunde akikujia
mfano mganga anataka kujua fulani yupoje basi shetani atakwenda kwa spidi ya mwanga kumpeleleza huyo mtu yupoje na kwa vile hiyo siyo kazi kubwa kwa haraka tu analeta majibu. watu kwa kutokuelewa wanabaki kumsifu tu mganga anajua siri kumbe hawajui kwamba kajuzwa na shetani.
wakina kiranga wao wanadhani mtu akiwa mchawi basi anaamua tu lolote na likawezekana mfano kuhack akaunt za fedha, aende popote atakapo kwa muda wowote, anajua mtu anachowaza, ajue kila siri... no huyo sasa atakuwa siyo mchawi tena bali ni mwenyezimungu
hayo mambo yote wanayofanya wachawi na mashetani yao hayafanikiwi ila kwa masharti magumu magumu wanayowekeana wao kwa wao na masharti hayo yanawagharimu/yanawadhuru hata wao wenyewe kwahiyo siyo rahisi kama mnavyodhani.
twende kwa mfano wa muvi tu mtu anataka mali fulani imefungiwa sehemu anaambiwa ramani ya kufika huko anayo fulani na fulani yupo nchi za mbali huko kisha ramani inaonesha kuna sehemu ukifika utakuta vizuizi fulani lets say wanyama wakali inabidi uende na kitu fulani kisha kuna walinzi kadhaa mbele itabidi uende na kitambulisho fulani ndo wakupokee maana yake inabidi ukakipate hiko nacho... mbele huko inabidi uwe na almasi ya kukatia kufuli nk. kwahiyo unakuta mission inahitaji pesa nyingi sana, nguvu za mwili, watu wengi na muhimu, akili nyingi, muda mwingi wa kutosha nk.
kwahiyo mtu akisema nipe jina la mama yako nikuroge ukimwambia alitafute mwenyewe maana yake unampa mission ndani ya mission. au wale wanaosema kwanini mchawi asiweze kujua na kukwapua fedha benki, kwanini asiweze kusafiri popote atakapo na kadhalika hawajui kwamba yote hayo yanagharimu? unakuta jambo lingine unaambiwa kulifanikisha itakubidi utumie miaka 20 sasa wakati huo wewe una 45 ndo unakuta mtu anakata tamaa maana hilo ni moja tu wakati inatakiwa likamilike hilo ndo likamilishe na mengine kama manne mbele
Kama hatupo, na kitu kimetukuta, hilo litamaanisha nini?
Kwangu mimi, sababu zilezile zonazonifanya nisikubali kuwepo kwa uchawi, ndiyo hizo hizo zinanifanya nisikubali kuwepo kwa Mungu.Kama unaamini uchawi haupo it means unaamini Mungu hayupo pia, swala la kutorogeka ni jingine huenda nawe ni mchawi gwiji au mtu wa dini sana.
asante, nashukuru kwa swali zuri na kwa sababu mimi ni mwislamu nitakujibu kiislamu... unaweza kupoteza/kuibiwa kitu kisha ukaenda kwa mganga na mganga yule kupitia ramli akakuambia namna kitu chako kilivyopotea ima kwa kuibiwa akakutajia aliyekuibia na namna alivyoiba au kwa kudondosha akakutajia mahala kilipokutupika (ulipodondoshea). hiyo kwenye uislamu tunaita umetumia kuagua ili kujua siri (ghaib). tunaita siri/ghaib kwkuwa huyo anayejiita kuijua hakuwepo na wala hakutegesha kinasa sauti, video camera, wala micro cheap yoyote kuyanasa mambo hayo wala hakuna mtu yeyote anayemwambia. jambo hilo na mengi mfano wa hayo siyo ya kawaidaKawaida ni nini na tofauti na kawaida ni nini na unajuaje hii ni kawaida na hii ni tofauti na kawaida?
Mababu zetu waliona redio inatoa sauti ya mtu, wakaona hii si kawaida, ni uchawi.
Redio kutoa sauti ya mtu ni uchawi?
Hujaeleza kawaida ni nini na isiyo kawaida ni nini, na unatofautishaje mawili hayo, na utajuaje hii ni kawaida tu, ila wewe hujawahi kuiona, hivyo unaweza kufikiri si kawaida, na hii hujawahi kuiona, kwa sababu si kawaida.asante, nashukuru kwa swali zuri na kwa sababu mimi ni mwislamu nitakujibu kiislamu... unaweza kupoteza/kuibiwa kitu kisha ukaenda kwa mganga na mganga yule kupitia ramli akakuambia namna kitu chako kilivyopotea ima kwa kuibiwa akakutajia aliyekuibia na namna alivyoiba au kwa kudondosha akakutajia mahala kilipokutupika (ulipodondoshea). hiyo kwenye uislamu tunaita umetumia kuagua ili kujua siri (ghaib). tunaita siri/ghaib kwkuwa huyo anayejiita kuijua hakuwepo na wala hakutegesha kinasa sauti, video camera, wala micro cheap yoyote kuyanasa mambo hayo wala hakuna mtu yeyote anayemwambia. jambo hilo na mengi mfano wa hayo siyo ya kawaida
mambo ya kawaida nitakupa mifano kwa yale ya kutendwa na binadamu mfano ni kuona kwa kutumia macho, mtu kusikia kwa usikivu wa kibinadamu, kutembea ardhini, kupenya kwenye maada ya hewa tu, kula na kunywa vyakula vya kibinadamu, na kadhalika
akitokea leo mtu akasema yeye anaona hata akifumba macho (siyo kwa hisia bali kuona hasa na kuainisha mwonekano) au anaona vitu/watu hata walio nyuma ya ukuta wa nyumba basi hilo jambo tutasema siyo la kawaida katika kuona
akitokea mtu akasemaanasikia vishindo vya mwingine anayetembea kilomita kadhaa mbali na hapo alipo yeye au yupo sokoni na akasikia sauti/kishindo ya sisimizi anayepita chini basi mtu huyo tutamwona ana hali isiyo ya kawaida katika kusikia
ikitokea mtu anatembea bila kukanyaga chini (anatembea hewani) au mtu anakula machuma anayatafuna kabisa au mtu anapenya kwenye kioo bila kioo kupasuka basi hapo tutasema hayo yote na mfano wa kama hayo siyo mambo ya kawaida... eidha ni uchawi wa kutumia majini au mashetani ama uchawi wa mazingaombwe na kiinimacho
swala lako la redio linaelezeka kisayansi na kivyovyote vile lakini swala ambalo si la kawaida maana yake halipimiki kisayansi. kwa waislamu hayo mambo yasiyoelezeka kisayansi yanagawika katika makundi mawili yaani kuna mengine ni miujiza/ilham/karama/n.k na mengine ni uchawi/mazingaombwe/kiinimacho/n.k
Wewe kilaza bado niko na wewe. Jifunze kuandika. Kuloga ndio nini?Watu wote mbwembwe tu hakuna Cha kuloga Wala nini ni utapeli tu
Ukiona mtu haelewi muda mrefu Anza kutia shaka juu ya afya ya akili yake. Na ukiona mtu Kila wakati anajibu hoja kupitia matusi na lugha mbovu basi elewa kuwa hakuna mtu pale.Wewe kilaza bado niko na wewe. Jifunze kuandika. Kuloga ndio nini?
Mbona usharogwa zamani mwanangu?Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari. Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu. Albino, Vipara, wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason. Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga. Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa, basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka. Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi. Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi. Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.
View attachment 2615624
Aminisha dunia nzima kuwa Mungu hayupo kuangaika humu JF inaonekana wewe una uelewa mdogo sana.Kwangu mimi, sababu zilezile zonazonifanya nisikubali kuwepo kwa uchawi, ndiyo hizo hizo zinanifanya nisikubali kuwepo kwa Mungu.