Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Yaani nitoe 25M halafu nikufanyie na nusu ya kazi ya kuniloga?
Kwanin tuansikishane kisheria?
Unaogopa nitakuzulumu🤣
Nikizulumu si babu yupo atanipiga na kitu kizito,😂
Uzi njoo chukua mwenyewe kimazingara usinichoshe🤣
 
Ume elezea vyema sana.....Nili kua mbishi kama huyo jamaa mtoa mada...
Nili amia makazi mapya Wacha we ni mwendo wa mauza uza na mambo ya ajab ajab...

Wadau wa Jf wakaniambia solution Asante Jf siku izi nalala usingizi....
Natamani Huyu mtoa mada apate Moja takatifu arudi kwenye Uzi medula imemkaa sawa...
 
Wameweza kuona account yangu iko empty ila wameshindwa tibia jamaa yao kiuganga🤣🤣.
Nisaidie kuwatukana😂
 
Kwanini usiwaze kua mleta mada hataki kutoa jina lake coz analinda privacy yake? mtu anatumia fake ID halafu akupe jina lake na la Mama yake?

😀 😀
 
Uchawi upo toka enzi za kina Miss na Abraham,mtoa mada tembea uone mengi au nenda tu huko Sumbawanga uone jinsi watu wanavyorushiana vifurushi vya radi Tena mchana kweupee!
Tatizo siamini.
Tatizo haya mambo yamejaa maneno vitendo hakuna.
Mi ninachotaka ni kulogwa.
Mkuu nimeishi na wagambia ma wana nigeria fulu ushirikina ila havifanyi kaz ni iman tu
 
Leta bank statement kwanza, isije ikawa unaongea maneno matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…