Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Yaani nitoe 25M halafu nikufanyie na nusu ya kazi ya kuniloga?
Kwanin tuansikishane kisheria?
Unaogopa nitakuzulumu🤣
Nikizulumu si babu yupo atanipiga na kitu kizito,šŸ˜‚
Uzi njoo chukua mwenyewe kimazingara usinichoshe🤣
wakati tunakutana kwenda kusign makubaliano me nitakuchukulia uzi mwenyewe, majina nitayasoma kwenye hati ya makubaliano ili usisumbike. Ni lazima nipate hivyo vitu maana sio mimi ninayekuroga, Unarogwa na mtaalamu sasa mtaalamu hawezi kukujua wewe bila mimi kumpa details asije akaloga mwingine
 
Tunanze kwanza kwa ku-declare interest,

Je wewe ni mwamini?

Kama sivyo mjadala huu utakuwa batili [emoji706]
 
Hello Africans.

Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.

Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.

Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo.(Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).

Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.

Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.

Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.

Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.

Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"

Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.

Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.

UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.

Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.

Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.

Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao[emoji23]

Haya kazi kwenu.

NILOGENI
Wewe, utanipaje hela wakati nitakuwa nimekumaliza?

Ukiachwa hutaamini kama nimefanikiwa kukuroga.
 
Sababu Imeandikwa; ā€œ asiachwe mwanamke Mchawi kuishi ā€œ

Maana yake auliwe mara moja inapojulikana kuwa mwanamke fulani ni mchawi auwawe.

Mungu mpaka anaandika amri hiyo usizani ni jambo la masihara.

Neno la Mungu limehakikishwa mara 7.

Mungu anajua uharibifu na madhara anayosababisha
Mwanamke Mchawi Ndiyo maana akaagiza auliwe mara moja.
 
Watakuja na excuses zote badala ya kuokoa nguvu na muda na kukuroga.

Inabidi uwe zwazwa grade A1 kuamini uwepo wa ushirikina karne hii.
Yaani mi wananikera sana watu wa hizi imani.
Halafu hizi imani ni hatari sana kwa kweli.
 
Kuna jamaa wana maduka ya vifaa vya ujenzi,wamewekeana hadi mipaka ya kumwaga hzo dawa zao

Mmoja akiona tu siku hyo hauzi,anachukua dawa hata kama ni mchana anaanza kumwagilizia

Uchawi upo na unafanya kazi,ukiona kitu kinafatwa na watu wengi usizan ni wajinga ujue kuna kitu wanapata

Zamani nilitaka kuamini kuwa kwenye hz dini ukiristo na uislamu watu wanapoteza tu muda lakin siyo kwel kuna nguvu zipo huko na zinasaidia watu

Hearsay. Hata mimi naweza kukupa story za uchawi nilizojitungia tu au kusikia bila uthibitisho wowote.
 
Sababu Imeandikwa; ā€œ asiachwe mwanamke Mchawi kuishi ā€œ

Maana yake auliwe mara moja inapojulikana kuwa mwanamke fulani ni mchawi auwawe.

Mungu mpaka anaandika amri hiyo usizani ni jambo la masihara.

Neno la Mungu limehakikishwa mara 7.

Mungu anajua uharibifu na madhara anayosababisha
Mwanamke Mchawi Ndiyo maana akaagiza auliwe mara moja.

Mwanaume mchawi je? Au mungu wenu nae ni sexist?

Neno lake limethibitishwa mara 7 na nani?
 
Hello Africans.

Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.

Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.

Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo.(Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).

Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.

Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.

Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.

Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.

Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"

Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.

Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.

UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.

Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.

Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.

Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga haošŸ˜‚

Haya kazi kwenu.

NILOGENI
Kuna mwanamke mmoja Jana kanambia anaamkia kwa ostadhi et anaendaga somewa dua ,

Kaenda leo mapema kabisa karudi now ananitxt Hana hela katumia nyingi namuuliza sh ngapi akasema 40k

Nikamwambia Imani yako itakuponya sa hivi ostadhi anakula kuku wewe umeenda na imani zako et una majini sijui ushapandaga mashetani zaman sa hivi unaota Mambo ya ajabu umempelekea ostadhi 40kšŸ˜‚
 
Back
Top Bottom