Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 126
- 156
Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa ,hongera na poleni kwa kazi zenu za Kila siku .
Napenda wajuzi mnifahamishe inapotokea mtumishi aliyeteuliwa akatolewa na kuweka mwingine unakuta anaambiwa atapangiwa kazi nyingine
Je hiyo kazi nyingine haiwezi kupangwa onsport baada ya mabadiliko? Wakati umesubiria kupangiwa kazi nyingine unalipwa? Kama ulikua na kazi ya awali je unaendelea nayo baada ya kusimamishwa ya uteuzi? Je unaweza kukumbusha upangiwe hiyo kazi endapo utachelewa kupangiwa?
Natanguliza shukurani nikipata majibu sahihi.