Atangaza kuacha kazi ya Uganga haina faida

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu

Akizungumza mara baada ya kufunguliwa kwa maombi kusalimisha zana zake za uganga ambazo zimeteketezwa kwa moto amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona hakuna manufaa anayoyapata

Chanzo: EATV​
 
Haijamlipa kitu ndio maana kaamua asije kua tapeli km wale
Wapo waganga wenzie wanakuwa na biashara au wamewekeza sehemu na uganga wanafanya kusaidia watu ila sio kutafutia mafanikio kwenye uganga, inaonekana yeye alikuwa mganga wale ambao hata wateja hawapati na yeye hana shughuli nyengine zaidi ya uganga tu.
 
Mganga njaa
 
Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu

Akizungumza mara baada ya kufunguliwa kwa maombi kusalimisha zana zake za uganga ambazo zimeteketezwa kwa moto amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona hakuna manufaa anayoyapata

View attachment 3470406
Chanzo: EATV​
Mimi niliacha kwa hiari yangu na nikaokoka nikiwa pekeyangu chumbani
 
Back
Top Bottom