Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Hapo anabadili tu anatumia nguvu za uganga kutoa mapepo na kufanya miujiza kwa kutamka tamka jina la Yesu.
Hapo anabadili tu anatumia nguvu za uganga kutoa mapepo na kufanya miujiza kwa kutamka tamka jina la Yesu.
Ulikuwa uganga wa kujifunza tu mwenyewe ama?Mimi niliacha kwa hiari yangu na nikaokoka nikiwa pekeyangu chumbani
Hapo anabadili tu anatumia nguvu za uganga kutoa mapepo na kufanya miujiza kwa kutamka tamka jina la Yesu.
Ingekuwa kutamka tu hilo jina hayo madude yanatoka basi watu wasigehitaji kwenda kwenye nyumba za ibada au kufuata watu maalumu ili wawetoe hayo madude, inahitaji nguvu ya ziada nyuma yake ndio maana nasema kwa huyo mganga anaweza kutumia nguvu ya uganga wake kutoa hayo madude huku akitamka hilo jina.Jina la Yesu huwa ni kichapo dhidi ya madude yenu yote, majini na mauganga yenu huwa yakiskia hilo jina yanatoweka.
Ingekuwa kutamka tu hilo jina hayo madude yanatoka basi watu wasigehitaji kwenda kwenye nyumba za ibada au kufuata watu maalumu ili wawetoe hayo madude, inahitaji nguvu ya ziada nyuma yake ndio maana nasema kwa huyo mganga anaweza kutumia nguvu ya uganga wake kutoa hayo madude huku akitamka hilo jina.
Kuna mtu asiyekuwa na dhambi? Unataka kutuaminisha kwamba wale tunaowaona wakitamka hilo jina huko makanisani ni watakatifu hawana dhambi?Halitamkwi na mwenye dhambi, kwenye Biblia Kuna alijaribu kulitamka, ila hayo majini yenu yakamjibu kuwa Yesu tunamjua ila wewe nani?
Kwanza lazima ujitakase, uepuke dhambi kisha kuanzia hapo hakuna majini, uganga, uchawi au sheikh au ustadhi atakuweza, wote watakua wanakuona wa moto.
Kuna mtu asiyekuwa na dhambi? Unataka kutuaminisha kwamba wale tunaowaona wakitamka hilo jina huko makanisani ni watakatifu hawana dhambi?
Yani unataka kutuaminisha kwamba wakristo wana dhambi sana ndio maana wanashindwa kutumia hilo jina la Yesu ndio maana hukukimbilia kwa watu kama akina Mwamposa ambao hawana dhambi?
Wewe kubali tu ukweli kwamba hao jamaa wana nguvu zao zengine za ziada.
Mimi nilidhani alihojiwa akiwa kilingeni kwake kumbe yupo kanisani nilitaka kushangaa
Sasa waumini wengine wanaoangalia wataamini vipi kama kweli alikuwa mganga ili na wengine wahamasike?Kilingeni akifanya nini tena, ukiokoka na kuacha mipombe hauwezi kwenda kuhojiwa kwenye klabu.
Umeongeza lengine tena kwahiyo kumbe ili uweze kutumia jina la Yesu ni mpaka uokoke, na hiyo maana yake wale wakristo wengi hawajaokoka na ndio maana wanashindwa kutumia jina la Yesu na kukimbilia makanisani huko ambako na kuwafanya manabii na wachungaji waonekane ni watu spesho kumbe ishu ni kuokoka tu, sasa mbona hao manabii hawawafcundishi watu hilo jambo kuwa kumbe linalohitajika zaidi ni kuokoka tu?Sote tulizaliwa na dhambi, na hatuna uwezo wa kujiosha, na ndio maana Yesu alikuja ili tufaidi kwenye hiyo neema, tuwe na uwezo wa kuungama dhambi zetu.
Yaani kwa jitihada zetu wenyewe ni ngumu, hata kwa nyie huko ambapo huwa mnadhani kuisha mwili kwa maji au kujiosha miqundu baada ya kunya eti inawatakasa, au kuswali mara tano kwa siku ukibinuka binuka, hiyo yote ni ubatili, unapaswa uokoke umkiri Yesu kuwa mwokozi wako, kisha kuanzia hapo utajazwa na Roho Mtakatifu atakayekuwezesha kuishi maisha matakatifu, japo utakua unakengeuka mara moja moja, atakua anakurekebisha.
Utakua na uwezo wa kukemea yale majini ya dini yenu ile ya muarabu, mauganga, mauchawi na mashetani yote mengine.
KIGOMA kama kigomaKijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu
Akizungumza mara baada ya kufunguliwa kwa maombi kusalimisha zana zake za uganga ambazo zimeteketezwa kwa moto amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona hakuna manufaa anayoyapata
View attachment 3470406
Chanzo: EATV