Haijamlipa kitu ndio maana kaamua asije kua tapeli km waleHizo faida anazokusudia yeye ni zipi ni kwamba uganga wake haukuwa ukiwasaidia watu wenye matatizo au kwamba yeye alikuwa hapati kipato kizuri kwenye huo uganga?
Wapo waganga wenzie wanakuwa na biashara au wamewekeza sehemu na uganga wanafanya kusaidia watu ila sio kutafutia mafanikio kwenye uganga, inaonekana yeye alikuwa mganga wale ambao hata wateja hawapati na yeye hana shughuli nyengine zaidi ya uganga tu.Haijamlipa kitu ndio maana kaamua asije kua tapeli km wale
Mganga njaaWapo waganga wenzie wanakuwa na biashara au wamewekeza sehemu na uganga wanafanya kusaidia watu ila sio kutafutia mafanikio kwenye uganga, inaonekana yeye alikuwa mganga wale ambao hata wateja hawapati na yeye hana shughuli nyengine zaidi ya uganga tu.
Wajinga ni wakina naniWajinga ndio waliwawo!
Hapo mchungaji anatafuta waumini kijanjaAmefanya jambo jema kukimbilia kwa Yesu
Mimi niliacha kwa hiari yangu na nikaokoka nikiwa pekeyangu chumbaniKijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu
Akizungumza mara baada ya kufunguliwa kwa maombi kusalimisha zana zake za uganga ambazo zimeteketezwa kwa moto amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona hakuna manufaa anayoyapata
View attachment 3470406
Chanzo: EATV