Kambi ya Kalito
Member
- May 21, 2026
- 86
- 191
Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia.
Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic
Sekta walizotaja ni madini, kilimo, nishati, utalii, tehama, viwanda, na mabenki na mengineyo.
==============
Which means ataondoka kabla ya tarehe 8.