Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aache mashauziKuna jamaa angu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Ataishi kama mwenye mshahara wa milion 2 Dar 😂! Moshi ukiwa na kazi rasmi maisha ni mepesi mno.Kuna jamaa angu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Bila shaka ni Bonite bottlers haoKuna jamaa angu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Kuna jamaa angu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?