The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
njoro sasa hivi kupo vizuri, bhata mimi namshauri apange maeneo hayo uliyoyatajaNjoro is too low halafu kumekaa kushoto kushoto hakuko na usalama. Njoro kwa Dar ni sawa na umwambie mtu akaPange geto Kiwalani au Kigogo Mburahati.
Sehemu nzuri ya kuanzia maisha aidha atafte maeneo ya kuanzia maduka ya chini hadi ushirika wa Neema akishindwa atafte maeneo ya RAU. Accesibility ya usafiri ni kubwa sababu ni njia yenye vyuo vingi halafu kuko vizuri. Watoto wako wa kutosha hasa msimu wa vyuo ukiwa ON.