tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Kwa akili yako ulidhani tellers wanalipwa ngapi mkuu?Bank teller wa Bank gani analipwa pesa ndogo hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako ulidhani tellers wanalipwa ngapi mkuu?Bank teller wa Bank gani analipwa pesa ndogo hivyo?
haya maelezo yanahusika vip hapa kiongoziNilisoma Moshi VTC, nyuma kule kuna sehemu inaitwa Pasua ni noma sio mchezo..
Nusu nibebwe na 110 za polisi mitaa ya usiku, nikatoa kitambulisho nikapoea hapo....
Ilikuwa raha maisha ya chuo pale, wakati mwingine tunaomba mechi na watoto wa kishua wa Moshi International School, Aisee, tulikuwatukiingia mule ndio tunajijua ni watoto wa masikini....maneno ya Shanty Town...
Umesahau mbwata ya pili. Huwa ni "mbwata mbwata"Kweli masikini akipata matako hulia MBWATA
Akae Soweto.Kama anakula beer kila weekend anaweza akawa anakula beer za 5OK ni za kutosha sana kule beer buku jero kwa buku 2 hizo local. Walevi ni wengi so ukiwa na comPany wewe unalewa kwa kiingilio cha 5Ok tu kila ijumaa na jumamosi ni kama sikukuu😂😂😂
Ushuani ni sehemu inatwa Shant Town huko nyumba ni za bei ghali. Akiishi nyumba exPensive maisha yataenda ila maendeleo hakuna
Sali pia usisahau kumwagilia moyoBoss, Njoro ime"change". Uhalifu bado upo kama sehemu nyingine tu za uswahilini.
Extro kwa umri wangu kujidanganya nafsi yangu siwezi. Starehe zipo ila huwa zina majuto mbele. Mimi sasahivi starehe yangu ni kusoma Biblia., Nilipoteza muda na rasilimali nyingi/mwingi sana kwenye anasa. Sitamani mwingine apitie humo maana najuta. Furaha ya kweli ni uzao wa Roho Mtakatifu ndani ya mtu.
"Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili . Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili ..." Soma WAGALATIA 5:16-25.
YESU NI KRISTO
Soweto sio mbaya il nyumba ghaliAkae Soweto.
Hata Arusha anaishi mahali kuna mpaka ngararumu na loshoro.Aende tu maisha ya moshi marahisi atleast na anaweza akasev kabisa,,,ila sio Arusha!
Mkuu kuna mji Tanzania ambao hutaweza kuishi kwa hela hiyo? Anyway moshi maisha ni mepesi hususan kwenye kodi… 60k ni chumba kizur na sebuleni ..Mamb mengine will depend on him…Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Mwambie aachane na hiyo kazi kabisa,
Laki 8 hawezi lipia hata Kodi ya pango, hivi unacheza na Moshi wewe!