Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

Ok mkuu,nimekupata
Kama anakula beer kila weekend anaweza akawa anakula beer za 5OK ni za kutosha sana kule beer buku jero kwa buku 2 hizo local. Walevi ni wengi so ukiwa na comPany wewe unalewa kwa kiingilio cha 5Ok tu kila ijumaa na jumamosi ni kama sikukuu😂😂😂
Moshi ushuani ni kama wapi mkuu?
Ushuani ni sehemu inatwa Shant Town huko nyumba ni za bei ghali. Akiishi nyumba exPensive maisha yataenda ila maendeleo hakuna
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Katika ambayo ambayo ina cost ya maisha ya chini na maisha mazuri moshi ni mojawapo especially kwa mtu mwenye kipato cha mwezi ataishi vizuri sana.

Chakula ni cheap na bora sana.

Nyumba zipo kwa gharama nafuu sana bei maelewano.

Gharama za usafiri chini kwasababu kamji ni kadogo so unafika haraka unapokwenda no foleni.

Usalama ni mkubwa sana na rate ya uhalifu ipo chini.

Viburudisho ni wewe tu unapenda level zipi.
 
Sure Moshi maisha Ni simple. Mana wenyeji hawaishi kwenye nyumba zao.pia wageni kule wachache. Unapata chumba na sebule unalipa 50 ambayo dar ungelipa laki na nusu. Pia Kama unapenda matunda yapo Sana Kama soko la mbuyuni akina manka wapo weupe, ukizidiwa Kuna malindi hapo utapata zipo mbunye za buku kadhaa so unaenjoi maisha.

Nenda kapige kazi Kama hauna kazi nyingine huku ukisilizia mchongo wako wa maana unaona unakufaa maishani mwako.
 
Atafute chumba eneo liitwalo Njoro, life is simple. Kwa hiyo salary, ata-save hela za maendeleo

JESUS IS LORD
Njoro is too low halafu kumekaa kushoto kushoto hakuko na usalama. Njoro kwa Dar ni sawa na umwambie mtu akaPange geto Kiwalani au Kigogo Mburahati.

Sehemu nzuri ya kuanzia maisha aidha atafte maeneo ya kuanzia maduka ya chini hadi ushirika wa Neema akishindwa atafte maeneo ya RAU. Accesibility ya usafiri ni kubwa sababu ni njia yenye vyuo vingi halafu kuko vizuri. Watoto wako wa kutosha hasa msimu wa vyuo ukiwa ON.
 
mkuu Extro, unamwelekeza tena kwenye uasherati, na wakati anatakiwa abane matumizi ipasavyo kwa ajili ya kuweka msingi bora wa maisha yake? Sio vzr kuanza kwa anasa maana kuna mambo yako mbele yake kama: ujenzi wa nyumba, ndoa, kuwakumbuka wazazi, kuweka akiba, nk

Njoro imerithi jina baya tu, kwa sasa iko vizuri. Zamani ndio ilikuwa ya kihuni.
 
Back
Top Bottom