Unaona yaaniinasikitisha kweli yaani kwenye dunia hii ya ushindani wanapaswa kupambana
Can you imagine naibu waziri anakuwa na mamlaka na shirika la ndege kweli yaani mimi sielewi watabadilika liniHaya tushayaongea sana.
Hapa badae huu usagiri utakuwa kafiri
'Msishangae mnaambiwa ndege imepeleka makada dodwakati nyie mna tiketi za kwenda Mwanza.
Na mambo ya Juliana Shonza kupiga sinu kusema mzuie flan asipande ndege kwa utashi wake kisa kaimba nyege yatakuwa ya kawaida sana ilia hadi kweny history ya safari browser ya huyo huyo utakuta history ya pornhub etc.
Kiufupi Dart imetipa mwelekea wa kampuni za serikali zitakavyoendeshwa.
Yani wanatoka chini kwenda chini.
Walikabishiwa electronics tiketi wakaona wale wataalamu wa max malipo wanafaidi sana basi wakawafyekelea mbali.
Pumbavu.
Wanashindwa kuelewa kuwa wale max malipo ni wajasiriamali vijana wa kitanzania wanauza technology yao na wanalipa kodi.
Yani hii nchi hii.
Sijui.
Ndio ukweli huohamna uendeshaji wa kiuweledi hapo ATCL..ni blabla tu.
HAhaha umeuaaa.Hahahaha!!!!...halafu ngoja kampeni zieanze abiria wataambiwa wasubiri ndege imeenda kuruka juu ya vijiji ili wananchi waione ndege yao.
[/QUOTE]Mkuu unachosema ni kweli ila tuwape taarifa kisha tuwabane. Issue ya juzi ya mawaziri ni kielelezo. Tumezoea kulalamika tukiwa na makosa. Huyu abiria nimeambiwa kachelewa na nimmoja nikaombwa ushahidi wa waliopata hilo tatizo sina na hata huyu aliyeleta JF ni habari ya kuambiwa. QUOTE="Froida, post: 29798971, member: 16160"]Pole sana lakini ATCL wanahitaji mabadiriko makubwa hatuwezi kufika klwa mtindo wa biashara za kikobe kobe watu wengi wpanasikitika kama wamekwambia ni mtu mmoja basi tayari wamekili tatizo lipo maana inawezekana wengine wamesononeka tu hawawezi paza sauti
Hawaogopi kitu.Yaani mtu anakwenda kukata tiketi kwa mfano Dar Mbeya wao wanampa Mbeya Dar wanampa na taarifa ya kubadili muda wa ndege wanafika airport ndege imeshajaa na route sio wenyewe hilo si ni kosa kubwa lakiufundi na kibiashara
Ha ha mbona watabuma sasa hivi ushindani ndio unaosaidia biashara kukuwa inanisikitisha sanaHawaogopi kitu.
Weshafukuza ndege zingine.
W
Yaani ni valu valu tu hata kwenye utoaji wa tiketi wanakufanyia madesa hata kwenye tiketiukifika airport hola unakuwa humo kwenye risti ya wasafiri wajirekebishe kwa kweli
Mnachanganya mambo ili mradi muandike tuu.Haya tushayaongea sana.
Hapa badae huu usafiri utakuwa kafiri
'Msishangae mnaambiwa ndege imepeleka makada Dodoma wakati nyie mna tiketi za kwenda Mwanza.
Na mambo ya Juliana Shonza kupiga simu kusema mzuie flan asipande ndege kwa utashi wake kisa kaimba nyege yatakuwa ya kawaida sana ilia hadi kweny history ya safari browser ya huyo huyo utakuta history ya pornhub etc.
Kiufupi Dart imetipa mwelekea wa kampuni za serikali zitakavyoendeshwa.
Yani wanatoka chini kwenda chini.
Walikabishiwa electronics tiketi wakaona wale wataalamu wa max malipo wanafaidi sana basi wakawafyekelea mbali.
Pumbavu.
Wanashindwa kuelewa kuwa wale max malipo ni wajasiriamali vijana wa kitanzania wanauza technology yao na wanalipa kodi.
Yani hii nchi hii.
Sijui.
Ha ha haaa inaitwa ndege yao lkn hawaruhusiwi hata kuisogeleaHahahaha!!!!...halafu ngoja kampeni zieanze abiria wataambiwa wasubiri ndege imeenda kuruka juu ya vijiji ili wananchi waione ndege yao.
Hiyo ndiyo habari? Wameachwa Airport ipi?Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Na abiria nae poyoyo ulipopewa tiketi tofauti hukuona?Yaani mtu anakwenda kukata tiketi kwa mfano Dar Mbeya wao wanampa Mbeya Dar wanampa na taarifa ya kubadili muda wa ndege wanafika airport ndege imeshajaa na route sio wenyewe hilo si ni kosa kubwa lakiufundi na kibiashara
Dada usipanic ATCL bado sanaHiyo ndiyo habari? Wameachwa Airport ipi?
Habari yako haijakamilika halafu unatoa shutuma kubwa sana.
W
Yaani ni valu valu tu hata kwenye utoaji wa tiketi wanakufanyia madesa hata kwenye tiketiukifika airport hola unakuwa humo kwenye risti ya wasafiri wajirekebishe kwa kweli
Dada customer service mteja ni mfalme ukiona mfanyabiashara anafanya ujinga mkubwa kiasi kila wakati kwa wateja wake viwanja vyote ujiwe huyo hajaiva kibiashara baado sanaNa abiria nae poyoyo ulipopewa tiketi tofauti hukuona?
Sijaitetea ATCL, nisome tena.Dada usipanic ATCL bado sana
Mfalme hatakiwi katazama tiketi aliyopewa ameandikiwa vipi?Dada customer service mteja ni mfalme ukiona mfanyabiashara anafanya ujinga mkubwa kiasi kila wakati kwa wateja wake viwanja vyote ujiwe huyo hajaiva kibiashara baado sana
Huyu siku yatamkutaDada usipanic ATCL bado sana