ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

Haya tushayaongea sana.

Hapa badae huu usagiri utakuwa kafiri
'Msishangae mnaambiwa ndege imepeleka makada dodwakati nyie mna tiketi za kwenda Mwanza.

Na mambo ya Juliana Shonza kupiga sinu kusema mzuie flan asipande ndege kwa utashi wake kisa kaimba nyege yatakuwa ya kawaida sana ilia hadi kweny history ya safari browser ya huyo huyo utakuta history ya pornhub etc.
Kiufupi Dart imetipa mwelekea wa kampuni za serikali zitakavyoendeshwa.

Yani wanatoka chini kwenda chini.
Walikabishiwa electronics tiketi wakaona wale wataalamu wa max malipo wanafaidi sana basi wakawafyekelea mbali.

Pumbavu.

Wanashindwa kuelewa kuwa wale max malipo ni wajasiriamali vijana wa kitanzania wanauza technology yao na wanalipa kodi.

Yani hii nchi hii.

Sijui.
Can you imagine naibu waziri anakuwa na mamlaka na shirika la ndege kweli yaani mimi sielewi watabadilika lini
 
Mkuu unachosema ni kweli ila tuwape taarifa kisha tuwabane. Issue ya juzi ya mawaziri ni kielelezo. Tumezoea kulalamika tukiwa na makosa. Huyu abiria nimeambiwa kachelewa na nimmoja nikaombwa ushahidi wa waliopata hilo tatizo sina na hata huyu aliyeleta JF ni habari ya kuambiwa. QUOTE="Froida, post: 29798971, member: 16160"]Pole sana lakini ATCL wanahitaji mabadiriko makubwa hatuwezi kufika klwa mtindo wa biashara za kikobe kobe watu wengi wpanasikitika kama wamekwambia ni mtu mmoja basi tayari wamekili tatizo lipo maana inawezekana wengine wamesononeka tu hawawezi paza sauti[/QUOTE]
 
Hahahaha!!!!...halafu ngoja kampeni zieanze abiria wataambiwa wasubiri ndege imeenda kuruka juu ya vijiji ili wananchi waione ndege yao.
HAhaha umeuaaa.
Ujue wewe jamaa unaongea kam mzaha ila yatakuja kutokea kweli.

Watu wanajazana let say chato stadium na matisheti ya njano na kofia then ndege inapita juu wanashangilia

"Oyeee baba kur zote zakoo"
 
Mkuu unachosema ni kweli ila tuwape taarifa kisha tuwabane. Issue ya juzi ya mawaziri ni kielelezo. Tumezoea kulalamika tukiwa na makosa. Huyu abiria nimeambiwa kachelewa na nimmoja nikaombwa ushahidi wa waliopata hilo tatizo sina na hata huyu aliyeleta JF ni habari ya kuambiwa. QUOTE="Froida, post: 29798971, member: 16160"]Pole sana lakini ATCL wanahitaji mabadiriko makubwa hatuwezi kufika klwa mtindo wa biashara za kikobe kobe watu wengi wpanasikitika kama wamekwambia ni mtu mmoja basi tayari wamekili tatizo lipo maana inawezekana wengine wamesononeka tu hawawezi paza sauti
[/QUOTE]
Ishu ya juzi ya mawaziri ni ipi hiyo sasa kwa nini wewe unakataatariifasi uwaambie kuwa watu wanalalamika ili iwe njia ya kuwabana unataka kusema hao wanaokatatiketi harafuhawaendihawa wzlikuwa wanakwenda wamekuwa misallocated
 
Yaani mtu anakwenda kukata tiketi kwa mfano Dar Mbeya wao wanampa Mbeya Dar wanampa na taarifa ya kubadili muda wa ndege wanafika airport ndege imeshajaa na route sio wenyewe hilo si ni kosa kubwa lakiufundi na kibiashara
Hawaogopi kitu.
Weshafukuza ndege zingine.
 
Mkuu wametoa jibu niwezeshe niwafuate mwambie akutumie tiketi niende tuache siasa. Atcl ni pesa yetu tusikubali uzelmbe ila tusiruhusu uongo kwas sababu za kisiasa


Ishu ya juzi ya mawaziri ni ipi hiyo sasa kwa nini wewe unakataatariifasi uwaambie kuwa watu wanalalamika ili iwe njia ya kuwabana unataka kusema hao wanaokatatiketi harafuhawaendihawa wzlikuwa wanakwenda wamekuwa misallocated[/QUOTE]
 
Haya tushayaongea sana.

Hapa badae huu usafiri utakuwa kafiri
'Msishangae mnaambiwa ndege imepeleka makada Dodoma wakati nyie mna tiketi za kwenda Mwanza.

Na mambo ya Juliana Shonza kupiga simu kusema mzuie flan asipande ndege kwa utashi wake kisa kaimba nyege yatakuwa ya kawaida sana ilia hadi kweny history ya safari browser ya huyo huyo utakuta history ya pornhub etc.
Kiufupi Dart imetipa mwelekea wa kampuni za serikali zitakavyoendeshwa.

Yani wanatoka chini kwenda chini.
Walikabishiwa electronics tiketi wakaona wale wataalamu wa max malipo wanafaidi sana basi wakawafyekelea mbali.

Pumbavu.

Wanashindwa kuelewa kuwa wale max malipo ni wajasiriamali vijana wa kitanzania wanauza technology yao na wanalipa kodi.

Yani hii nchi hii.

Sijui.
Mnachanganya mambo ili mradi muandike tuu.
 
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Hiyo ndiyo habari? Wameachwa Airport ipi?

Habari yako haijakamilika halafu unatoa shutuma kubwa sana.
 
Yaani mtu anakwenda kukata tiketi kwa mfano Dar Mbeya wao wanampa Mbeya Dar wanampa na taarifa ya kubadili muda wa ndege wanafika airport ndege imeshajaa na route sio wenyewe hilo si ni kosa kubwa lakiufundi na kibiashara
Na abiria nae poyoyo ulipopewa tiketi tofauti hukuona?
 
W

Yaani ni valu valu tu hata kwenye utoaji wa tiketi wanakufanyia madesa hata kwenye tiketiukifika airport hola unakuwa humo kwenye risti ya wasafiri wajirekebishe kwa kweli
risti = list
 
Na abiria nae poyoyo ulipopewa tiketi tofauti hukuona?
Dada customer service mteja ni mfalme ukiona mfanyabiashara anafanya ujinga mkubwa kiasi kila wakati kwa wateja wake viwanja vyote ujiwe huyo hajaiva kibiashara baado sana
 
Dada usipanic ATCL bado sana
Sijaitetea ATCL, nisome tena.

Ili kusaidia hata wakuu wanaosoma humu inabidi mwenye malalamiko aje na habari kamili. Sasa nambie kwa kuisoma post namba moja unaanza kutatua wapi?

Au mradi kuponda tu si kutatua kero?
 
Dada customer service mteja ni mfalme ukiona mfanyabiashara anafanya ujinga mkubwa kiasi kila wakati kwa wateja wake viwanja vyote ujiwe huyo hajaiva kibiashara baado sana
Mfalme hatakiwi katazama tiketi aliyopewa ameandikiwa vipi?
 
Back
Top Bottom