ATCL imeanza kupaa sana kimapato. Mbunge Zungu Ashauri serikali iige inachofanyiwa Ethiopian Airline na Serikali yao

Kumbe serikali huwa inajikata kodi kwenye mali zake yenyewe mpaka zinashindwa kujiendesha, kwani CAG alitoa maoni gani ili hilo shirika lijiendeshe kwa faida? au nae alisema tu ndege ziuzwe kama sisi laymen wa mtaani.
Hawa majamaa wanatia aibu bungeni na spika naye kaungana nao
 
ATCL ni shirika linalojiendesha kwa hasara tupu kwa miaka mitano mfululizo. Hivyo ndivyo ripoti ya CAG ilivyosema.

Tusipindishe mambo wala tusitafute mchawi, ATCL ni shirika bovu, lina ukwasi hasi, linaendeshwa kisiasa na sio kibiashara. Faida itatokea wapi?
 
Kwa hiyo Kigoma wahojiwe uraia sababu ya umasikini wao? jinga kabisa justification ya uraia sasahivi ni utajiri?
 
Huyu zungu ni mtanzania? na kama ni mtanzania ni ukoo wa nani? wahindi, waarabu na wasomali wanajificha kwenye CCM na huku siyo raia wa Tanzania, utasikia Nondo na ndugu zetu wengine wa Kigoma wanahojiwa uraia badala ya hawa wakimbizi.
Babako akiwa amelala usiwe unachezea simu yake kuwa na adabu.
 
Kwa hiyo Kigoma wahojiwe uraia sababu ya umasikini wao? jinga kabisa justification ya uraia sasahivi ni utajiri?
Hakuna nchi duniani inamtaka maskini nchini mwake kama mhamiaji
 
Huku ni kujifariji. Airline business haiwezi kuendeshwa kwa faida kokote duniani kwa mazingira ya sasa ya vikwazo vya Korona.
 
Kwa akili tu ya kawaida... Shirika bado linaendelea kufanya kazi... Kama mapato yote yanaenda serikalini...
Je pesa ya kuendelea kuliendesha shirika inatoka wapi..?? Je shirika linajiendesha kwa mkopo...?? Je ni pesa/mapato ambayo yote anarudishwa serikalini ndio hayo hayo yanarudi kuliendesha shirika...??? Na kama mapato ni madogo kuliko matumizi... Ni faida gani shirika inaregulate..??!!
 
Bado tu mnapigia debe hizo ndege ilihali zimeleta loss ya zaidi ya billion 100+ toka mzipokee! Hivi huu ushamba mtaacha lini ccm??

Acheni kuchezea kodi za wananchi hivyo mkidhani wanafurahia hizo siasa zenu..
[emoji706][emoji706]
 
Bwana Polepole Gwiji bobevu la uchambuzi wa taarifa za kiuchumi.
 
Hadi sasa mtoa mada hajajibiwa kwa hoja...

naendelea kusisitiza JF ya sasa imejaa watu wa ajabu mno.
 
Bwana Polepole Gwiji bobevu la uchambuzi wa taarifa za kiuchumi.
Mimi sio polepole nilishahisiwa kuwa mimi ndio Magufuli mwenyewe wakati yuko hai hasa nilipotetea kiswahili kuponda kingereza.Sio Polepole mimi

Mimi mchambuzi huru mwenye akili huru za kuchambua mambo independently
 
Mimi sio polepole nilishahisiwa kuwa mimi ndio Magufuli mwenyewe wakati yuko hai hasa nilipotetea kiswahili kuponda kingereza.Sio Polepole mimi
Haahaahaaha haaaa! Basi hii itakua account ya taasisi!
 
Ugoro mtupu.

ATCL ni hasara tupu serikali haiwezi hii biashara, tulikabidhi nchi kwa malimbukeni wa ndege.
 

Alikuwepo wapi wakati wa JIWE kumpa huo ushauri?
 
Kama una ndege hazisafiri kwenda Ulaya we ndio basi tafuta biashara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…