Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hawa majamaa wanatia aibu bungeni na spika naye kaungana naoKumbe serikali huwa inajikata kodi kwenye mali zake yenyewe mpaka zinashindwa kujiendesha, kwani CAG alitoa maoni gani ili hilo shirika lijiendeshe kwa faida? au nae alisema tu ndege ziuzwe kama sisi laymen wa mtaani.