Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
kama bado tunakwenda kujazana airport kupokea ndege kuanzia Rais, Makamu, Rais wa Zanzibar na PM + serikali yoote unafikiri akili zetu ziko sawa sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia tarehe 3 Juni hadi jana tarehe 6 Juni, ndege ya usiku saa 5:30 usiku kutokea KIA kwenda DAR inachelewa saa 3 hadi 5, abiria mnatua Dar saa 10 asubuhi au saa 12 asubuhi badsla ya saa 6:30 hadi saa 7:00 usiku. Ni muhimu ATCL wajirekebishe.Ukiangalia kwa makini routes wanazodelay ni za Kilimanjaro hasa..
Angalia leo ndege ya saa 5 asubuhi inaondoka Dar saa 9 (wamechelewa saa 4)
ATCL routes zinazohusu Kilimanjaro imekuwa too much...
Kwa mwaka huu route hii imesha niharibia mipango zaidi ya mara 6