N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Jun 5, 2023 #21 kama bado tunakwenda kujazana airport kupokea ndege kuanzia Rais, Makamu, Rais wa Zanzibar na PM + serikali yoote unafikiri akili zetu ziko sawa sawa.
kama bado tunakwenda kujazana airport kupokea ndege kuanzia Rais, Makamu, Rais wa Zanzibar na PM + serikali yoote unafikiri akili zetu ziko sawa sawa.
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,967 Reaction score 2,147 Jun 6, 2023 #22 Ngarob said: Ukiangalia kwa makini routes wanazodelay ni za Kilimanjaro hasa.. Angalia leo ndege ya saa 5 asubuhi inaondoka Dar saa 9 (wamechelewa saa 4) ATCL routes zinazohusu Kilimanjaro imekuwa too much... Kwa mwaka huu route hii imesha niharibia mipango zaidi ya mara 6 Click to expand... Kuanzia tarehe 3 Juni hadi jana tarehe 6 Juni, ndege ya usiku saa 5:30 usiku kutokea KIA kwenda DAR inachelewa saa 3 hadi 5, abiria mnatua Dar saa 10 asubuhi au saa 12 asubuhi badsla ya saa 6:30 hadi saa 7:00 usiku. Ni muhimu ATCL wajirekebishe.
Ngarob said: Ukiangalia kwa makini routes wanazodelay ni za Kilimanjaro hasa.. Angalia leo ndege ya saa 5 asubuhi inaondoka Dar saa 9 (wamechelewa saa 4) ATCL routes zinazohusu Kilimanjaro imekuwa too much... Kwa mwaka huu route hii imesha niharibia mipango zaidi ya mara 6 Click to expand... Kuanzia tarehe 3 Juni hadi jana tarehe 6 Juni, ndege ya usiku saa 5:30 usiku kutokea KIA kwenda DAR inachelewa saa 3 hadi 5, abiria mnatua Dar saa 10 asubuhi au saa 12 asubuhi badsla ya saa 6:30 hadi saa 7:00 usiku. Ni muhimu ATCL wajirekebishe.