Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko.
Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet.
Mfano kama ikiwezekana mtu kusafiri kwa laki na nusu toka Mwanza mpaka Dar Atcl wanaweza kuwa na trip zaidi ya nne kwa siku Dar to Mwanza.