Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Huu ni uchumi wa darasa la saba wa kina Musukuma. Sio bidhaa zote zikishushwa bei, demand inaongezeka. Mfano, leo hii chumvi ikiuzwa bure je matumizi ya chumvi yataongezeka? Mkeo utamwambia atie chumvi nyingi kwenye mboga kwa kuwa chumvi inapatikana bure? Kasome concept inaitwa Elasticity of demand and supply.Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei
Mkuu Safi kabisa, ATCL Kuna mkurugenzi boya flani hivi hata hajui anachokifanya Bora atumbuliwe na SASHA tuNi suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa fastjet. Mfano kama ikiwezekana mtu kusafiri kwa laki na nusu toka Mwanza mpaka Dar Atcl wanaweza kuwa na trip zaidi ya nne kwa siku Dar to Mwanza.
Nini kilitokea kipindi fastjet inaoperate? Mfano wako wa chumvi sio relevant, rudi shule ukasome vizuri unachojidai unakijua.Huu ni uchumi wa darasa la saba wa kina Musukuma. Sio bidhaa zote zikishushwa bei, demand inaongezeka. Mfano, leo hii chumvi ikiuzwa bure je matumizi ya chumvi yataongezeka? Mkeo utamwambia atie chumvi nyingi kwenye mboga kwa kuwa chumvi inapatikana bure? Kasome concept inaitwa Elasticity of demand and supply.
Pia soma demand ya inferior and luxry goods.
Hawana elimu/uzoefu wa biashara matokeo yake ndege inasafiri Dar-Mwanza na abiria watano tu ambayo ni hasara tupu tofauti na pale wangeshusha bei na kusafirisha abiria wengi zaidi na kuwafanya wapate faida kiasi ambayo inaweza patikana kila siku kwa kuwa wengi watapenda kutumia ndege zaoHawajiongezi shida..na hii kitu nimeona kwa waTz wengi..haswa wafanya biashara
Jiwe aliuwa Fastjet ili kuibeba Atcl, matokeo yake ameleta shida kwa wasafiri wa kipato cha chini na cha kati.Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa fastjet. Mfano kama ikiwezekana mtu kusafiri kwa laki na nusu toka Mwanza mpaka Dar Atcl wanaweza kuwa na trip zaidi ya nne kwa siku Dar to Mwanza.
Mi naamini mkurugenzi wa ATCL anafanya makusudi ili kulihujumu shirikaHawana elimu/uzoefu wa biashara matokeo yake ndege inasafiri Dar-Mwanza na abiria watano tu ambayo ni hasara tupu tofauti na pale wangeshusha bei na kusafirisha abiria wengi zaidi na kuwafanya wapate faida kiasi ambayo inaweza patikana kila siku kwa kuwa wengi watapenda kutumia ndege zao
Ukiangalia mazingira ya fastjet kuondoka hapa Tz ilikuwa ni usanii wa kisiasa.Jiwe aliuwa Fastjet ili kuibeba Atcl, matokeo yake ameleta shida kwa wasafiri wa kipato Cha chini na Cha kati
Sure..mathalani wangefanya nauli tsh 75k ama 80k kwa wanaobook mapema wangejikuta wanapata faida na pesa ya kuendesha hilo shirika ..Yani wangejikuta wanapata faida ya mwaka kesho kutwa mwaka huu...lakini pale wamekalia kuangaliana Kama manyaniHawana elimu/uzoefu wa biashara matokeo yake ndege inasafiri Dar-Mwanza na abiria watano tu ambayo ni hasara tupu tofauti na pale wangeshusha bei na kusafirisha abiria wengi zaidi na kuwafanya wapate faida kiasi ambayo inaweza patikana kila siku kwa kuwa wengi watapenda kutumia ndege zao
Hata kama ikiwa 130k mpaka 150k afadhali,kuliko wanavyofanya sasa.Sure..mathalani wangefanya nauli tsh 75k ama 80k kwa wanaobook mapema wangejikuta wanapata faida na pesa ya kuendesha hilo shirika ..Yani wangejikuta wanapata faida ya mwaka kesho kutwa mwaka huu...lakini pale wamekalia kuangaliana Kama manyani
Huduma ya usafiri wa anga inapokuwa ghari sana watu wanaopt kupanda mabasi, huduma ya mabasi inapokuw ghari pia watu wataopt treni, hivyo kusha bei ni jambo jema kwa biashara na usitawi wa AtclHuu ni uchumi wa darasa la saba wa kina Musukuma. Sio bidhaa zote zikishushwa bei, demand inaongezeka. Mfano, leo hii chumvi ikiuzwa bure je matumizi ya chumvi yataongezeka? Mkeo utamwambia atie chumvi nyingi kwenye mboga kwa kuwa chumvi inapatikana bure? Kasome concept inaitwa Elasticity of demand and supply.
Pia soma demand ya inferior and luxry goods.
For luxury goods, when u increase the price, the demand also incresases.
nani asiyetaka kutoka dar saa 1 na kufika mwanza saa 3 kasoro ,WASHUSHE BEIII .FULL STOPHuu ni uchumi wa darasa la saba wa kina Musukuma. Sio bidhaa zote zikishushwa bei, demand inaongezeka. Mfano, leo hii chumvi ikiuzwa bure je matumizi ya chumvi yataongezeka? Mkeo utamwambia atie chumvi nyingi kwenye mboga kwa kuwa chumvi inapatikana bure? Kasome concept inaitwa Elasticity of demand and supply.
Pia soma demand ya inferior and luxry goods.
For luxury goods, when u increase the price, the demand also incresases.
Hiki ndicho kinachotesa ATCL na mashirika mengi ya serikali. Watendaji/mkurugenzi anafanya kuihujumu serikali yake ili ipate hasara maana ukiangalia wanavyoendesha hili shirika unaona kabisa hakuna nia ya dhati ya kuliinua na kutengeza faida.Mi naamini mkurugenzi wa ATCL anafanya makusudi ili kulihujumu shirika
hawa ndio CAG ali report hakuna hata mmoja mwenye uzoefu wa kuendesha shirika la ndege? yaani no experience at all.Mkuu Safi kabisa, ATCL Kuna mkurugenzi boya flani hivi hata hajui anachokifanya Bora atumbuliwe na SASHA tu