ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

Hapo ni swala la supply and demand, kama abiria watakuwepo kwanini ATCL wasiende Chato?

Kama kutakuwa hakuna kabisa abiria, basi, hiyo route itafutwa.
 
SOFAR ROUTEVYA CHATO INAABILIA ZAIDI YA UWANJA WA SONGEA..NIMESAFIRI MARA TATU KOTE MWAKAHUU..NAJUA NINACHOKISEMA

Kwahiyo walipopanga awali hawakufanya forecast?
Abiria Chato wakafanye nini?
 
SOFAR ROUTEVYA CHATO INAABILIA ZAIDI YA UWANJA WA SONGEA..NIMESAFIRI MARA TATU KOTE MWAKAHUU..NAJUA NINACHOKISEMA
Chato si walikuwa wanakwenda viongozi na watumishi waandamizi wa wizara mbalimbali kukagua projects .
Hizo projects zikiisha itakuwaje?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sasa mbona umewahukumu kabla hawajakujibu ?
 
ATCL vipi !
Tunataka majibu , safari za Chato-Dar, Dar-Chato zingali hai?
 
Jamii Forum inanufurahisha sana watu wanabadilika kuendana na upepo
Juzi tu watu walikua wanamsifia Jiwe.Mara paap upepo umebadilika kisa report ya CAG[emoji1787][emoji1787]
 
nakumbuka mwakyembe alienda airport akakagua abiria walikuwa wanasubiri kupanda ndege ya atcl akakuta wote hawana tiketi akawaambia atakaeingia kwenye ndege ni yule atakaeenda kulipia tu, walirudi wote shenzi zao
Hahahaaaaa!!!
Naona kama lilikuwa igizo vile, nani alikuwa top leader wake?
 
Sasa kama ni hivyo kwann airport haiku jengwa Geita ? Umeona ilipo KIA na migodi ya MERERANI ? Yaan hata kwa mguu unaenda chap kwa haraka
Yaan huko kwenu ni vice versa
 
Achana na ndege kwanza mkuu. Kuna wale twiga waliohamishiwa hifadhi ya burigi, wanataka kujua hatma yao vipi? Maana wamepata taarifa kidnaper wao kashasepa.
 
Mkuu hizo safari hazipo tena. Sahau hiyo kitu...watu waende Chato kufanya nn?
Kuna Taga/Nyonge moja lumesema eti watu wataenda kutembelea Burigi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna Taga/Nyonge moja lumesema eti watu wataenda kutembelea Burigi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
WATU WALIOUGUMA UTAMIAMLO WAKIWA WADOGO UTAWAJUA JINSI WANAVYO ARGUE..NDO MAANA TANZAIA NA AFRICA NI MATAIFA YAKO NYUMA LICHA YAKUWA NA RASILIMALI NYINGI..MOJA WAPO NI KAMA WEWE . ARGUMENT ZAKO ZINAONYESAH YOUR REASONING CAPACITY NI POOR SANA
 
Sawa mkui twende pamoja, hapo mimi nime reason nini mpaka umepata reasoning capacity yangu? Wala usikimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…