ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

Sasa kama ni hivyo kwann airport haiku jengwa Geita ? Umeona ilipo KIA na migodi ya MERERANI ? Yaan hata kwa mguu unaenda chap kwa haraka
Yaan huko kwenu ni vice versa
Wewe kweli unaijuwa Mererani! KIA ilijengwa strategically katikati ya Arusha na Moshi. Aiport hujengwa nje ya miji mikubwa kuondowa hatari tarajiwa.
 
Back
Top Bottom