ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

Kwani Chato hawana haki ya kupanda madege ya Tanzania au chuki na roho mbaya? Mbona hamuhoji dhahabu chekwa itokayo huko na kuchangia uchumi wa taifa?
 
WATU WALIOUGUMA UTAMIAMLO WAKIWA WADOGO UTAWAJUA JINSI WANAVYO ARGUE..NDO MAANA TANZAIA NA AFRICA NI MATAIFA YAKO NYUMA LICHA YAKUWA NA RASILIMALI NYINGI..MOJA WAPO NI KAMA WEWE . ARGUMENT ZAKO ZINAONYESAH YOUR REASONING CAPACITY NI POOR SANA
Mkuu hebu rudi shule kidogo kamalizie form two uandishi wako ni "F".
 
So, vision ya kujenga ule uwanja wa chato Airport ilikuja kwasababu ya Dhahabu ya GGM?
Kwanini haukujengwa Geita mjini palipo na mgodi mkubwa?
Nimefanya kazi GGM na Bulyanhulu, jiografia ya Ile migodi mikubwa haina undugu na Chato Airport

Majitu ya ccm ni mapumbavu, leo utashangaa anamsifia mama suluhu kusema atcl ina loss lakin ukirudi nyuma lilikuwa linamsifia magufuli kununua mindege, me sina chama ila kinachonishangaza kwanini watu kama wakina lissu huwa wanajua tokea mwanzo kwamba haya makitu yana loss sana na hayafai ilihali wakubwa bado wanaendelea nayo ? watu wahovyo sana ccm
 
Angejenga air strip na feeder road chini ya 3B, na hizo 40B... Viwanda kadhaa na kilimo cha kisasa umwagiliaji na ufugaji Chato wangemkumbuka Maisha na taifa lingeheshimu support yake.
 
Mama Samia atazistopisha hizo flaiti mara moja! Ni hasara kwa Taifa.
 
Niliwahi kuelezwa na mtaalamu mmoja wa usafiri wa ndege kwamba ATCL litakufa kwa sababu linaendeshwa kisiasa. Chato ilikuwa inakwenda kisiasa tu. Ni ujinga wa kutojua biashara
 
Kumbe ndo nyienyie waleee na mwenda zake
 
Na. Wamefilisika kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…