Hizo pesa za kuhangaika na ATCL laiti zingewekezwa kwenye hata Kuchimba mabwawa ya kilimo cha umwagiliaji nchi nzima, impact yake ingekuwa ni kubwa sana.Air Tanzania Company(ATCL) ina mpango kuwa na uwanja wake utakaohudumia ndege zake pekee ndani ya uwanja wa ndege wa Jylius Nyerere. Mipango hiyo ilitangazwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati akipokea ndege mpya aina ya Boeng.
Uwezekano ni Serikali itatenga uwanja wa ndege za ndani(Terminal II) baada ya marekebisho makubwa na kuwapa ATCL.
Nauliza tu, tunaona mwangaza kwa hela tunazomwaga ATCL? Usikute kimekuwa kitengo cha kuvuna 10%[emoji850]
Air Tanzania anaenda kulipa gharama zote ambazo alikuwa anachangia na precision, zanair na ndege nyingine zilizokuwa zinatumia hiyo terminal..Dah watu Dubai wana fleet yenye thousands of plane ila hawawazi huu ujinga mto yuko na tu ndege tuwili kweli
Air Tanzania Company(ATCL) ina mpango kuwa na uwanja wake utakaohudumia ndege zake pekee ndani ya uwanja wa ndege wa Jylius Nyerere. Mipango hiyo ilitangazwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati akipokea ndege mpya aina ya Boeng.
Uwezekano ni Serikali itatenga uwanja wa ndege za ndani(Terminal II) baada ya marekebisho makubwa na kuwapa ATCL.
Nauliza tu, tunaona mwangaza kwa hela tunazomwaga ATCL? Usikute kimekuwa kitengo cha kuvuna 10%🤐