ATCL Yasitisha Kwa Muda Safari za Ndege TC422 na TC423 Dar es Salaam–Moscow

Humu kumejaa mipumbavu tupu huwa una mihemko ya kimbulula tu, na hayana hata akili ya kusema kulikoni na kutafuta yaliyojiri, yenyewe yanameza ndio maana mange ana minyumbu ya kutosha


View attachment 3662901
Baadhi ya Wafuasi wa CDM huwa wanashindwa kufanya uchanganuzi wanaishia kutoa maoni ya kihisia kuliko kujenga hoja. Ni dhahiri anga la Urusi si salama kwa sasa kwa kile kinachoendelea.
 
Vita ya Russia na Ukraine ilianza lini? Na ATCL walianza lini route za Moscow?
Nadhani wamesitisha kutokana na onyo la Zelensky juzi. Hata hivo hiyo ruti ina waateja mbona. Wateja wengi kutoka East Africa nzima sababu ndio ndege pekee inaenda straight to Moscow. Nilishangaa siku pale terminal 3 kuona wakenya kibao wapo layover ya kwenda Urusi.
 
Vita ya Russia na Ukraine ilianza lini? Na ATCL walianza lini route za Moscow?
Chief, Katika vita tunaangalia Conflict Intensity Levels ndio inafanyika maamuzi.
i, Hatari ya chini - Kunakuwa na mivutano na mapigano machache; raia na miundombinu muhimu bado vinafanya kazi kwa kiasi kikubwa. kunakuwa na low risk.
ii. Hatari ya wastani – inakuwa na mapigano ya mara kwa mara, vitisho vya usalama na disturbance kwa huduma muhimu. Hapa tuna vihatarishi vya wastani (Moderate risk)
iii. Hatari kubwa – Kunakuwa na mapigano yanaendelea kwa kiwango kikubwa, maeneo ya kiraia yanaathirika na shughuli za kawaida zinavurugika, hapa vihatarishi ni vikubwa kwa wazungu wanasema kuna high risk.
iv. Hatari zaidi – Kunakuwa na vita iliyoenea, usalama wa raia upo katika hali mbaya sana, huduma muhimu zinavurugika na uwezekano wa madhara makubwa kutokea ni mkubwa. kunakuwa na Critical/Extreme Risk

Kwa maelezo haya nadhani utakuwa umepata jibu
 
Mmekosa abiria acheni kuzungukazunguka. Afadhali mngeenda EU kuna abiria ila janjajanja zenu zimewafanya mpigwe ban huko.
Kazaneni huku huku shithole countries panawatosha.
Wazee wa kukurupuka hao, hasara si kitu kwao, kufanya mambo sahihi ni mzozo hapo ukute wamesitishwa kilazima na maswala ya geopolitics.
 
Wengi walikua wanafunzi. inshort ndege ya kwendaa Moscow ina abiria wa kutosha. Na Abiria wengi ni kutoka nchi Kenya na Uganda.
Wanaishi na huohuo uanafunzi mpaka kufika Urusi, lakini kifuatacho ITV ni juu yao
Hata waganda kibao wako huko kwenye vita
 
Una majibu mazuri. Mimi sio mtaalam wa aviation. Lakini unawezaje kuanzisha new route kwenye war zone? At least wangekuwa wameanza before vita ningewaelewa. Kusitisha kwasababu ya vita Route ya Dubai i ulisikia kuna mtu alizungumzia tatizo lolote zaidi ya vita?
 
Humu kumejaa mipumbavu tupu huwa una mihemko ya kimbulula tu, na hayana hata akili ya kusema kulikoni na kutafuta yaliyojiri, yenyewe yanameza ndio maana mange ana minyumbu ya kutosha


View attachment 3662901
Sasa kutukana watu haitisaidia kiongozi..

Hio vita inayoendelea huko Ulaya Mashariki mbona inafahamika, kiuhalisia ni kwamba kulikuwa hakuna ulazima wowote wa kupeleka Air Tanzania nchini Russia...

Kwanza kabisa ilikuwa si biashara yenye faida endelevu na usalama ulikuwa mdogo, maana hali haitabiriki kwenye vita..

Tukubali tu wazo la kuanzisha hizo safari ni mihemko na siasa zaidi na si kusaidia wananchi wala kutatua changamoto...
 
Ukweli ni kwamba hio route ilianzishwa kwa sababu za mihemko, hisia na kisiasa zaidi, na si kama msaada ama kutatua changamoto za wananchi...

Ni kama kulazimisha..
 
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 7
  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 12
Mmekosa abiria acheni kuzungukazunguka. Afadhali mngeenda EU kuna abiria ila janjajanja zenu zimewafanya mpigwe ban huko.
Kazaneni huku huku shithole countries panawatosha.
Warusi sikuhizi hawatembei na Wananchi wa Ulaya Mashariki hawana pesa za kuja Africa kutembea. Yani baada ya kufanya Biashara ya Abiria na Ulaya Magharibi na Scandinavian wao wanaleta siasa za Vyama vya mfukoni kwenye Biashara za Kimataifa.
 
ndiyo maana communism always fails, kwa sababu ya mambo kama hayo, i mean, >80% ya watalii wanaokuja tanzagiza wanatokea eu, USA na kwa mbali Japan, sasa kwa akili ya kawaida ungetegemea mtu atumie nguvu na ushawishi mkubwa ili tupate direct flight inayounganisha western world na tanzagiza lkn wanaamua kupeleka russia, ni watalii wangapi hata wanatokea russia kuja tanzagiza?

sasa hiyo hasara nani atailipia? kutoa dreamliner mpaka russia bila ya abiria huku ndege inahitaji service na repair, kulipa wafanyakazi, huko russia ni lazima walikodi ofisi inayohitaji kulipiwa pango, umeme, maji, wafanyakazi huko russia, nani atalipia hizi gharama zote kama ndege haina abiria? ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…