Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Kwa kawaida tu hatuna mwingiliano mkubwa wa kibiashara na Moscow..
Halafu pili huko vita inaendelea, nani wa kwenda huko?
Sijui nani aliwashauri huo ujinga...
Hapo kampuni imeshaingia hasara...
Tulitaka kuwakomoa mabeberu who are they? Wakati tuna marafiki wakali tu kule kremlin