MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Jamaa ana impact kubwa sana kibongo bongo.Inaonekana Diamond ni mtu mkubwa sana bongo
Yaa kumbuka huyu ni msanii nje ya kwamba ni mwananchi kama wengne but fikiria kama alikuwa anaenda kuperforrm mkoa mmja impact yake ingekuwaje nkInaonekana Diamond ni mtu mkubwa sana bongo
Siku zote wanawake ni mama wa nyumban ...kazi zingine tumelazimisha tuu..hawaweziHii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza, atupwe airport ya Singida huko kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
Inaonekana Diamond ni mtu mkubwa sana bongo
Nyoko kweli, yaani utajibu mangapi ya mtandaoni? Utaitisha media mara ngapi? Are serious kweli??Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja mara mbili.
Ni mashirika machache sana yanayoweza kutolea ufafanuzi mambo mazito yanayaanzia mitandaoni,kweli hii ni ATCL mpya
View attachment 970349
Mchana si ndo huu.....ngoja tusubiri
naona dogo siku hizi kavimba kichwa hatishwi na mtu...Ile video ya DP kumkoromea jamaa wa ATCL imewapaka choo hawa vinginevyo wangekataa kata kata kwamba hilo halipo.
naona dogo siku hizi kavimba kichwa hatishwi na mtu...
Hapo kwenye red,Kwani huko Singida ndipo wanapohitajika watu walioshindwa kudhibiti uozo sehemu zingine?!Hii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza,atupwe airport ya Singida huko, kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
ah ah sasa mzee mwenye nyumba kafukuza mangi kwe nyumba yake halafu kamweka mwanae afungue duka bila uwezi kisa yule mchaga anapata sana faida unategemea nn...tutakuja umia sana kwenye swala la fast jet kuibania na kuamini ATC itaweza bila kuipa mfumo ..ndege mpya watumishi walewaleAlichokisema ni kweli tupu. Na huo ujinga ATCL wanaufanya sana.
Kumbe mpaka sasa bado WaTz wenye mawazo ya kumpeleka sehemu nyingine Mfanyakazi aliyeboronga bado mpo.Hii ishu sio ya ATCL. Ni ya Airport ya Mwanza. Niliwahi kufika pale dk 40 kabla ndege kuondoka, ikabidi nitoe rushwa ya elfu 10 ili niruhusiwe kuingia. Hii ilikuwa mwaka 2014.
Huu ni mchezo wa muda mrefu.
Mamlaka ya viwanja vya ndege inabidi imuondoe bosi wa uwanja wa Mwanza, atupwe airport ya Singida huko kwa kushindwa kudhibiti uozo huu.
Narudia tena. Wenye makosa wanaweza wasiwe ATCL bali mamlaka ya uwanja wa Mza.
Nchi kila kitu kinageuzwa siasa.Nyoko kweli, yaani utajibu mangapi ya mtandaoni? Utaitisha media mara ngapi? Are serious kweli??